Jangakuu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 513
- 221
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika alitoa wiki mbili kwa Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghebe kuwa endapo hatachukua hatua kujibu hoja tisa ambazo alikuwa aziwasilishe bungeni basi ataongoza maandamano ya wananchi wa Dar es Salaam kwenda ofisini kwa waziri.
Mnyika alieleza kusikitishwa kwake kwa kuondolewa hoja yake, akisema ni kwa kuwa Rais Jakaya Kiwete alidanganya kuwa 2013 tatizo la maji katika jiji la Dar es Salaam litakuwa historia. Aliongeza kuwa hoja yake iliondolewa kinyume cha utaratibu wa kanuni, japo ilikuwa na manufaa makubwa kwa wananchi wa Dar es Salaam.
Maandamano na mkutano huo yaliwashirikisha takriban wabunge zaidi ya 20 wa chama hicho, viongozi waandanizi wa kitaifa na maelfu ya wananchi waliokuwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbalimbali na kuungwa mkoni kila mahali