Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Zitto Kabwe KATIKA Mkutano wa Kumi wa Bunge la Kumi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge, Anne...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
WEDNESDAY, FEBRUARY 13, 2013 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikamilisha usajili wa Kitambulisho cha Taifa wakati wa Uzinduzi wa Utoaji wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wiki mbili sasa maeneo ya Kibamba, Kwembe, Luguruni, Mbezi na mengine mengine hawapati maji kutoka Dawasco/Dawasa. Hali ni mbaya sana. Watu hawaogi wala hawafui. Wakubwa wako kimya. Waziri wa...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Wednesday, February 13, 2013 Rais Jakaya Kikwete Siku moja baada ya kuuawa Mchungaji wa Kanisa la TAG mkoani Geita, Mathayo Machila (45), Rais Jakaya Kikwete amesema mgogoro wa dini ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi naona kama WANAIGIZA... kuzomea/ kuropoka OVYO / kutoka toka NJE OVYO/ kuzunguka zunguka Na KITI mda wote OVYO/ kula KALAMU/ hivi iyo ndio suluhisho ya hoja zinazofukiwa?? Wanaotetea...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Lile blog linalojulikana kwa jina la kipiganaji (nom de guerre) kama ‘THE MOUTH OF THE SOUTH' – likipata jina hilo baada ya kusimama imara pamoja na watu wa Mtwara katika ile kesi ya...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Zipo njia 2 za kumngoa Makinda na Ndungai kwa kushindwa kuendesha bunge. 1. Njia ya kwanza kupelekwa hoja bungeni, hili litafanywa na wabunge wetu. 2. Njia ya pili ni sisi wananchi,kuwatumia...
5 Reactions
158 Replies
20K Views
DIWANI wa Kata ya Kigamboni (CCM), Dotto Msawa, ametangaza azma yake ya kupambana na tatizo la ajira kwa vijana wa Kata hiyo. Akizungumza katika mkutano wa vijana uliofanyika katika ofisi ya Kata...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndg wanabodi, katika kile kinachoendelea kutokea iramba na kumfanya mbunge wa iramba magharibi ndg lameck mkumbo madelu kutoamini masikio yake,ni pale anaposikia dr.kitila mkumbo anamgalagaza...
9 Reactions
43 Replies
5K Views
Rais Kikwete amewataka wajumbe wa CC na wale wa NEC waheshimu kazi za wabunge kwenye majimbo yao ili wawape nafasi ya kutekeleza walichokiahidi. Akitambulisha wajumbe wapya wa CC, alidai kitendo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
By Fredrick Obura The East Africa Community will have a single passport before the end of this year, three years after signing the common...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
“Ndugu Wananchi, Safari yangu ya Ufaransa, Uswizi na Ethiopia ilikuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu. Nchini Ufaransa licha ya kuimarisha uhusiano wa kirafiki baina ya nchi zetu, tumepata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika mikutano takribani kumi na mitano nimeshudia wagombea wakiungwa mkono kwenye vitongoji, vijiji na mitaa ya Magu mjini. CHADEMA ikitumia style ya liver channel ambapo kamanda Meshack akiwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndiyo Wakuu ! Vuguvugu la mabadiliko (M4C) linalo endelea kanda ya ziwa chini ya kamanda Mawazo lime endelea kuitesa CCM. Ikumbukwe kuwa wiki mbili zilizo pita CHADEMA ilipata ushindi mnono...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
inashangaza sana kuona ccm inaanza kuwatumia wazee waliostaafu kurudi kwenye siasa, kwa misingi kwamba bado wanahitaji busara zao. hawaoni ni kuwasumbua kwani siasa za leo si zile za chama kimoja...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu wote Niko hapa Dodoma na habari ziko kila kona sasa .Lowasa janja yake kwisha.Baada ya CCM kuona uwezo wa fedha za Lowasa na alivyo jipanga sasa hakutakuwa tena na kuwapigia kura wajumbe wa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa kuwarejesha Mangula, Kinana na Sasa Dr.Salim kwenye uongozi wa chama badala ya kuwa washuri, Je inawezekana mwalimu angekuwa baado hai angeombwa apewe Unyekiti wa CCM? Swala ni je...
0 Reactions
2 Replies
907 Views
Ndg zanagu wanaJf Wabunge hawa wako wapi, 1. Mohamed Dewji (Singida mjini) 2.Adeni Ragge (Tabora mjini) 3.Ndg Misanga (Singida Magharibi) 4.Juma Kapuya (Urambo Magharibi-Kaliua) hawa...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa serikali hii ya Jk kutoa lawama kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) hasa inapotokea migongano kati ya wananchi na serikali. Ni mara kadhaa Rais mwenyewe...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ikiwa ni siku chache kutokea Halmashauri Kuu ya CCM kumaliza semina inayohusu ajira kwa watanzania hususan kwa vijana na mmoja wa wabunge wake Dr Kingwangwala kujinasibu kuwa kupeleka hoja binafsi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom