Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Moshi Lusonzo Hofu ya kushambuliwa na wananchi wanaopinga ujenzi wa bomba la gesi imesababisha baadhi ya polisi waliokuwa wanafanyakazi mjini Mtwara kutimka na kutelekeza vituo vya kazi...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Najiuliza sana hili, hv upinzani wana matatizo gani wawapo bungeni? Nikiangalia akina Mh. Lukuvi huwa wanasimamiaga sana utaratibu wanapozungumza wapinzani! Lakini hili la Dr. Vitumbua...
16 Reactions
203 Replies
18K Views
Kumekuwepo na jitihada nyingi sana za watawala /viongozi wetu kuzuia mambo wanayoona ni mabaya yasionekane kwa wananchi lakini mambo hayo yakiwa yanafanywa na wao wenyewe. Huku wakijua kabisa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Duniani pote vyama vya siasa na wafuasi wao wanaoitakia mema nchi yao, wamalizapo uchaguzi kazi inayobaki ni moja tu - kuungana na raia wengine waote kuchapa kazi kuijenga na kuiendeleza nchi yao...
0 Reactions
185 Replies
12K Views
A young Boy asks his father.............. ''Dad how does politics actually work?'' The father tells his soon.......... Well you see, its like this, I make the money and bring it home, so...
2 Reactions
5 Replies
817 Views
Imekuwa ni muda sasa wakazi wa jimbo la kwela na hasa vijiji vya laela,kilyamatundu na maeneo yote ya bonde la ziwa rukwa kusumbuliwa na mtu mmoja anayeaminika kuwa ni jkt aliyemaliza mkataba ama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wizara ya elim na mafunzo ya ufundi imeajiri walim 26000 ambao tayari imewapangia vituo vya kazi maeneo mbalimbali hapa nchini.hakuna mwalimu aliepangiwa dsm.source. Vyombo vya habari na wizara
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Published on 13 Feb 2013Kituo cha sheria na haki za binadamu kwa kushirikiana na taasisi ya kiraia ya kufuatilia mwenendo wa bunge Tanzania,wamemtaka spika wa bunge,naibu spika na wenyeviti wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
TAMKO LA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM KUHUSU MAANDAMANO NA VURUGU ZILIZOTOKEA MKOANI MTWARA JUU YA UJENZI WA BOMBA LA GESI NA MAENDELEO YA MKOA WA MTWARA 1. Halmashauri Kuu ya Taifa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Professor Anna Tibaijuka has been elected to the powerful and prestigeous Central Commitee (CC) of Tanzania's ruling Party, CCM, the highest policy making organ. Some have described this as a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
*Asema unaibuliwa kufunika udhaifu wa uongozi Na Tumaini Makene TATIZO la udini unaodaiwa kuwepo nchini umeelezewa kuwa ni propaganda inayotumika kuficha udhaifu wa kiuongozi ili wananchi...
0 Reactions
117 Replies
7K Views
na Betty Kangonga HATIMAYE Chama cha Mapinduzi (CCM), kimepata Kamati ya Maadili baada ya jana Mwenyekiti wake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
JUMATANO, FEBRUARI 13, 2013 04:31 NA CHARLES MULLINDA, DAR ES SALAAM *Awapa mtihani mzito Lowassa, Sitta, Membe *Kutemwa kwa January Makamba swali gumu *Uteuzi wa Nchimbi, Lukuvi una sababu nzito...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kundi la Vijana wanasiasa uchwara na wachumia tumbo waliofukuzwa na Bavicha na CHADEMA hawana hadhi ya kuwa katika Chama Kikubwa kama CCM. Vijana hao wakiongozwa na JUliana Shonza siku moja baada...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wiki iliyopita kulitokea vurugu kubwa kati ya wachimbaji dhahabu wadogo na polisi. Vurugu hizi zilisababisha mwananchi mmoja kufa na wengine wanne kuvunjwa miguu kwa risasi. Aidha kumekuwa na...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
KITAIFA Na Habel Chidawali na Taus Mbowe, Dodoma Posted Jumatatu,Februari11 2013 saa 24:24 AM KWA UFUPI RAIS Jakaya Kikwete amekutana na wabunge na wadau wa Mkoa wa Mtwara Ikulu ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Imekua desturi ya hapa jamvini kwa baadhi ya waanzisha mada kuwasakama wabunge wa CHADEMA bila mpango. Imefika wakati nikajiuliza "hivi hawa wabunge wa CHADEMA wana nini? Mbona wanasakamwa wao tu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kilimo cha mkataba kwa wakulima wa pamba hutekelezwa kwa makubaliano kati ya kikundi cha wakulima na kampuni inayochambua pamba. Kwa mda mrefu wakulima wanahoji msimamo wa chadema katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SIKU chache baada ya Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda kuiagiza Bodi ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kumsimamisha kazi Mkurugenzi wake Charles Ekelege, shirika hilo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tanzania Daily News (Dar es Salaam) BY ABBY NKUNGU, 13 FEBRUARY 2013 Singida - THE Singida Region Minerals Association (SIREMA) has urged the government to reprimand and reprove the Member of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom