Sio jambo la kwanza kuandikwa au kutafsiliwa na wananchi wengi leo. Tangu siasa ya vyama vingi ni kweli tumeweza kubadilisha nchi yetu kwa kuongeza accountability. Pia ni kweli hata wapinzania wa maendeleo Tanzania CCM hata wao wameweza kupigania haki zao za kuharibu hii demokrasia na wakafanikiwa kwa muda.
Leo hii Makinda na Ndugai wanaonekana wazi wanatumiwa na vyombo vikubwa viwili Ofisi ya raisi na mafisadi. Hakuna asiefahamu jinsi gani Tanzania na siasa zake zinavyoendeshwa. Makinda na Ndugai ni wazi walipendekezwa kushika hizo nafasi kutokana udhaifu wao. Katiba hii ndio imewapa na kuwalinda CCM na hii ofisi ya raisi na inahusu sana madaraka ya raisi. Ni nini mabavu ya ofisi ya raisi? Tumeona jinsi gani reports zinaandikwa na kutotangazwa kwa wananchi (utafikiri hizi reports kwa ajili ya raisi?). Tumeshuhudia scandals ngapi raisi kazifungia ofisi kwake kwa malengo ya ku-protect one of their own? Ukweli ni kwamba Katiba hii ya CCM ilitengenezwa kwa ajili ya ku-influence decisions zote za nchi. Makinda na Ndugai rightly they are following orders kutoka Ukulu na CCM. This is really shameful...
Mnyika amtwisha zigo JK
Makinda atumika kumfuta Sitta
Tatizo lipo hapa, wabunge wa CCM hawaoni wala sijui kama wanauwezo wa kufikiria kabisa kuruhusu au kukaa kimya pale popote madhara kama haya yakifanyika. Haya mabadiliko ya kanuni Bungeni na ubovu mwingi tayari serikalini sio kwamba unaharibu tu wanachama wa Chadema ni pia ndugu zao na future ya Taifa letu. Kutokana na kukaa kimya kwa CCM ni wazi kweli waliacha siku nyingi Upendo na Taifa lao. Je Chadema au CUF wakipata nafasi kuingia madarakani wakafanya uovu mbaya zaidi ya huu, CCM watakaa kimya? (maybe yes...)
Makinda (wengi CCM) kweli prove us really she has no love for her country.
I think there still time for someone to Step UP and Stop these Undemocratic trend...