JERUSALEM 2006
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 527
- 596
Imekua desturi ya hapa jamvini kwa baadhi ya waanzisha mada kuwasakama wabunge wa CHADEMA bila mpango. Imefika wakati nikajiuliza "hivi hawa wabunge wa CHADEMA wana nini? Mbona wanasakamwa wao tu kuhusu majimboni kwao na mambo mengine?" Yani karibia kila mbunge wa CHADEMA amesha anzishiwa tuhuma humu jamvini wakimlaumu kwa kutokutekeleza ahadi zake.
Je? ni kweli kwamba wabunge hawa wa chama pinzani ndio hawatekelezi ahadi zao majimboni na wale wa chama tawala wanatekeleza? Maana CCM ina zaidi ya wabunge 2/3 ya wabunge wote, na nilitegemea wabunge wa CCM ndio wachunguzwe sana kwani wao wana majimbo mengi wanayoyaongoza.
Pia wabunge wa CHADEMA hasa wa majimbo wameonekana kuwa "active" sana wawapo bungeni na hivyo wanafahamu wajibu wao wa kutetea wananchi. Lakini ni wabunge hawahawa ndio wanao nyoshewa vidole na kutishia kupoteza majimbo yao.
Mifano mizuri ni
1. John John Mnyika . Huyu bwana ameonekana kujali sana wananchi wake awapo bungeni pengine kuliko mbunge yeyote. Lakini kuna mada zaidi ya kumi zilizowahi kuanzishwa zikitishia kuwa bwana Mnyika atapoteza jimbo lake iwapo asipo leta maji. Je kazi ya Mnyika ni kuleta maji au kuishinikiza serikali kuleta maji?
2.Highness Kiwia na Ezekiel Wenje. Kwa wale wanaotoaka Mwanza mtakuwa mnawafahamu vizuri hawa jamaa jinsi wanavyowajali wana Mwanza. lakini kuna post zaidi ya moja zilizowahi kuanzishwa kuhusu kuopoteza majimbo ya Mwanza.
3. Halima J Mdee. Huyu dada ni miongoni mwa wabunge wachache sana nchi hii aliyeweza kutembelea maeneo mengi sana ya Jimbo lake. Nimehudhuria sana mikutano yake ya mitaa jimboni. Kusema kweli anajitahidi sana katika kutekeleza kile alichoahidi. Lakini huwa wanaibuka watu na kutishia kuwa atapoteza jimbo kwani ahadi zake hazitekelezeki.
4. Godbless Lema. Kamanda Lema amekuwa nje ya bunge kwa zaidi ya miezi nane. Hii ilitona na ubakwaji wa demokresia. Na kusema ukweli lema yuko sharp sana jimboni na hata bungeni. Lakini kuna watu humu jamvini hawalioni hilo, wao wanaona hafanyi kitu na atapoteza bunge.
5.Joshua Nassari. Hakika huyu na kijana mdogo tu ambaye hana hata mwaka mmoja tangu achaguliwe. lakini kuna Magamba ambao hawajatoa boliti jichoni mwao na kuishia kuwatuhumu wabunge wa CHADEMA.
Kwa kweli list ni ndefu laki swali ambalo naomba tujiulize ni kwamba "CCM ina wabunge wengi sana je?
1. Mbona hatuwaoni katika kutetea wananchi wao bungeni na hata majimboni?
Wapi Obama mbunge wa manyovu
Wapi Ole sendeka
Wapi Rweikiza
Wapi Juma kapuya
Wapi Maji Marefu
Wapi Iddi Azan
Wapi Mama Tibaijuka
Wapi Serukamba
Wapi Lowasa
Wapi Ole medeye
Jamani magamba yako mengi na kazi zao hatuzioni. CHADEMA waliowachache kazi yao tunaiona.
Kwa wanaoiponda CHADEMA na wabunge wake je wa CCM mmewaacha wapi?
JJB
UDSM