Hiki Chama kimekuwa kinapata umaarufu siku hadi siku huku wakipamba vyombo vya habari kutokana na matukio yao yanayoashiria uvunjaji wa amani nchini mwetu.
Kila kukicha Chadema wamekuwa mstari...
Rais Kikwete amelirudia na kuliangukia Jeshi la polisi na kuomba msaada katika kuithibiti jeshi la police, tofauti na kauli aliyoitoa miezi michache iliyopita kwa viongozi na wafuasi wa CCM! Soma...
Wanajamvi na watanzania wote tunaokerwa na mambo yanayoendelea bungeni au kufanywa na viongozi wa bunge ni vema tukafahamu kuwa yanayotokea sasa ni laana ya mh.Sitta kwa ccm na serikali yake kwa...
UTAFITI wa Taasisi ya Utafiti kuhusu Kuondoa Umaskini (Repoa), kuhusu mabadiliko ya katiba, muungano na madaraka umeonyesha kuwa asilimia 40 ya Watanzania wanataka Bunge lisimamie mchakato mzima...
Mwandishi Wetu Raia Mwema
Toleo la 281
13 Feb 2013
Akiri kushiriki pamoja na akina Lukuvi
Akwepa kuzungumzia meseji za matusi
MNADHIMU Mkuu wa Kambi ya Upinzani Tundu Lissu amefichua...
VURUGU za kupinga ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam uliotulia kwa takriban wiki mbili sasa, umeibuka upya.
Vurugu hizo ziliibuka upya juzi baada ya jengo la...
WanaJF
Naona ni wakati sasa tuache kumjadili huyu mwanadada geugeu, asiye na msimamo, na mwenye kuyumbishwa na kusongwa na tamaaa sijui ya vyeo au ya fedha au...
Nasema hivi kwa sababu kwa...
Wadau,
Kesi ilifunguliwa na wanachama wa CCM kupinga matokeo ya ubunge wa Meashaki Opulukwa wa jimbo la Meatu kupitia CHADEMA iliamuliwa na kumpa ushindi Meashaki Opulukwa kati kati ya mwaka...
Kuna duniaya kazi na uwajibikaji. Kila binadamu anawajibu fulani kwa jamii yake, familiayake, na kwa Taifa lake.
Mambo yote haya yanapelekwa mbele na kitukimoja, Mapenzi ya kutaka kuona...
Habari ya jioni wadau wenzangu! Nimekuwa sionekani jukwaani kutokana mihangaiko ya hapa na pale! Hakika bandiko hilo hapo juu ni habari niliyopata toka kwa raia wa karibu kabisa na raia wa karibu...
Kitendo cha CCM, chamakikongwe na Tawala kukumbatia mtu aliyefukuzwa chama cha upinzani tena chamachenyewe ni Chadema ni cha aibu sana kwa CCM na viongozi wake labda kama hawanamuono na wamekwisha...
Nimeona utaratibu tangu anania ya kuwa rais, mpaka anateuliwa, mpaka anapigiwa kura, wale waliokua kambi nyengine upande wa pili,wapiga debe, sasa hivi wamo katika nafasi za uongozi..Tujiulize...
Wakuu wana JF
Nimeangalia Taarifa ya Habari Star TV saa 2.00, nimeshangazwa kwa kumuona Mkuu wa Wilaya ya Magu akimnadi mgombea wa CCM katika uchaguzi huku akijua kabisa kwamba yeye ni Mtumishi...
Wanajamvi,
Kama kawaida kila kukicha lazima usikie kimenuka ndani ya CHADEMA, mara fulani katimuliwa , mara fulani kahama , na majibu utakayoppata kutoka kwa makamanda ni mitusi mikubwa mikubwa...
MGENI RASMI ATAKUA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA.
MAANDAMANO YA KUMPOKEA MWENYEKETI YATAANZIA AIRPORT MPAKA OFISI ZA MKOA MWANZA.
KIKAO KITAFANYIKIA MWANZA, NA KUHUSISHA VIONGOZI NA WADAU...
Waziri Mkuu Mh. Pinda aka mtoto wa mkulima katika taarifa ya saa mbili kituo cha Star TV amewataka watanzania wasiwe na mategemeo kwamba wataanza kunufaika na gesi ya Mtwara katika muda mfupi...
Katika historia tulijifunaza kuhusu "unequal trade" kati ya Afrika na Mataifa ya nje kama ilivyokuwa kwa Tanzania. tulisoma kuwa africa ilibadili dhahabu, watumwa, shaba, pembe za ndovu na vito...
Nimeshangazwa na hoja ya dk thomas kashilila iliyotamka rasmi kwamba matangazo ya moja kwa moja kutoka bungeni yasitishwe au yaundiwe channel mpya na tcra.
NIMEGUNDUA KUWA BUNGE LINATAKA WANANCHI...
Miongoni mwa mawaziri bora Tanzania ukiacha Mwakyembe na Magufulu huyu mh. Mwanry ni mchapakazi bora sana yupo serious na ni hodari katika utendaji wake.
Sasa hivi yupo katika taarifa ya habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.