utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Wizara ya elim na mafunzo ya ufundi imeajiri walim 26000 ambao tayari imewapangia vituo vya kazi maeneo mbalimbali hapa nchini.hakuna mwalimu aliepangiwa dsm.source. Vyombo vya habari na wizara