Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika taarifa ya habar ya star tv inayoendelea sasa Nape anasema wamejipanga kupambana na rushwa ndani ya chama. Katika alizodai aina mbili za kupambana wao wameamua kupambana kwa kuzuia na si...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau, Kwa wale wanaotaka kuelewa kwa kina withdrawal kutoka kwenye pension funds. Tune TBC1
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Tanzania's Land Rights Violations By Guest, September 10, 2012 Tanzania's Troubling Trend of Land Rights Violations And Evictions. This article highlights the plight of the Maasai in Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ndugu wanabodi. Mbona mimi nikiingia www.meo.go.tz ya wizara ya Elimu sioni posti za walimu? Na mbona taarifa za vijiweni kuna watu wanasikika kutoajiliwa kwa kuwa wamesoma kozi za BED...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mhe. huyu sana; Katibu wa Bunge amenukuliwa na gazeti la Tanzania Daima akisema "Kina mama ambao wanajua kuwa siku hiyo watauliza maswali utawaona siku hiyo wanavalia kikweli kweli ili...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa amefichua mkakati kabambe uliopangwa na chama hicho wa kujiimarisha ndani ya miezi 6 Dr Slaa amesema kuanzia Aprili mpaka Septemba mwaka huu kutakuwa na...
15 Reactions
67 Replies
6K Views
Naibu spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema kuwa hatua ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoa simu yake kwa wananchi kumemuathiri kwa kuwa amekuwa akitukanwa. Ndugai...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari zilizothibitishwa toka ndani ya TBS ni kwamba CHARLES EKEREGE aliesimamishwa kazi ya ukurugenzi pale viwango anarudishwa kazini kuanzia jumatatu 21/01/2013. Waziri kigoda kaamua kumrtudisha...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Jamani watanzania kuna kitu ambacho kinafanyika,naomba kujua kama kisheria iko sawa kwa hili,mana unapoenda serikari za mtaa kwa ajili ya barua yoyote ya utabulisho au kwa ajili ya ishu yoyote ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
na Happiness Mnale MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), Dk. Edward Hoseah, amemuomba Jaji Mkuu, Othman Chande, ili kesi zinazohusiana na rushwa...
0 Reactions
4 Replies
939 Views
Binafsi mm naona usalama wa taifa walichungulia ile post yetu ndio maana leo wameamua kumbeba mama Maria kutoka Msoma hadi ZANZIBAR kumpatia kitambulisho. Binafsi mm kwanza naona ni ufujaji wa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Na Sharon Sauwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula Mapendekezo ya rufaa za malalamiko ya rafu zilizochezwa katika chaguzi mbalimbali za ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
KWANZA ilikuwa ni ndani ya chama tawala CCM, lakini malumbano baina ya vigogo sasa yamehamia serikalini baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Eliezer Feleshi kujibu mashambulizi ya mkurugenzi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Madudu ya makinda Bungeni yaanikwa, Wabunge CCM nao wapanga kumng'oa MKAKATI wa Spika wa Bunge, Anna Makinda, kutaka kuitetea serikali hata pale inapofanya madudu ya wazi, umeelezwa kuwa...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
na Rodrick Mushi, Moshi CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) manispaa ya Moshi kimemtaka Mkuu wa Mkoa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Raisi Jakaya Mrisho Kikwete na maraisi wastaafu Ali Hassan Mwiyi na Benjamini William Mkapa wanatarajiwa kushiriki katika maziko ya Askofu mstaafu wa kanisa Catolic jimbo la Moshi mhasham Amedeus...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Baada ya viongozi wa CHADEMA kutoa namba za spika kwa ajili ya wananchi kuhoji uonevu unaofanywa na kiti chake, wananchi wameikitikia mwito huo vizuri kwa kumtukana spika, TCRA na polisi...
12 Reactions
355 Replies
35K Views
Source BBC Katika hari ya kutuliza na kujaribu kuweka mambo sawa katika mkoa wa Geita katika kijiji cha Buseresere mpaka mda huu makubaliano na maaskofu kuhusu nani ana haki ya kuchinja...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
  • Closed
Hivi karibuni baada ya aliyekuwa mwenyekiti msaidizi wa BAVICHA Juliana Shonza kuvuliwa uongozi huo, ameonekana kuchanganyikiwa na kuhangaika sehemu nyingi huku akitoa maneno ya kashfa kwa...
7 Reactions
34 Replies
4K Views
Na Mwinyi Sadallah Mahakama Kuu ya Zanzibar, imeombwa kuondoa vizigiti kwa watu wanaokwenda mahakamni kufuatilia kesi inayowakabili viongozi 10 wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom