nadhani ni wakati muafaka raisi angetathmini hali ya amani nchini na kufanyia kazi,badala ya kukaa na kuliongelea swala la amani katika majukwaa ya kisiasa.
Nyerere alipingania na kuweka wananchi katika hali ya usawa na haki bila kubagua.
Nimemsikia raisi akizungumzia swala la amani katika manzishi ya aliyekuwa askofu wa kkt dayosisi ya kaskazini marehemu askofu laizer.
Angefanya tathmini kwenye mambo yafuatayo: Kauli za viongozi wa ccm zinazotolewa kwa wananchi,ambazo zinaweza kuatarisha amani mfano:
Kauli ya naibu katibu mkuu wa ccm, muh.mwigulu mchemba kuhusu wachmbaji wadogo wadogo wa madini.
Kauli za viongozi wa ccm wanapotumia udini kuchonganisha pale wanaposhindwa kutatua mambo ya msingi ya wananchi.
Pale viongozi wanaposhindwa kutumia rasilimali za nchi kwa manufaa ya wananchi badala yake wanatumia rasilimali za nchi kujinufaisha wenyewe na familia zao.
Mbona wakati wa nyerere viongozi walikuwa awadhubu kutoa kauli chafu kwa wananchi,tulikuwa tunashuhudia pale palipokuwa na dosari,nyerere alihakikisha anashughulikia mwenyewe na kumaliza tatizo.
Kwa mambo yaliotokea mtwara,geita raisi bado ameendelea kuonyesha udhifu mkubwa katika kutatua hayo matatizo.
Na bado anakaa katika majukwaa na kuzungumzia amani,ninavyojua mimi amani haitakuwepo bila kuwepo haki na usawa.