Viti vipunguzwe bungeni:

Viti vipunguzwe bungeni:

JOSEDIZOZ

Senior Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
134
Reaction score
30
hv wadau kuna haja ya kuwa na lundo la viti visivyokaliwa pale mjengoni?au kuwa na bunge kubwa alafu wabunge hawahudhurii.au kuwa na idadi kubwa ya wabunge wasio timiza wajibu wao.kwangu mm wabunge wanaotimiza wajbu wao pale mjengoni sidhani km wanafika mia.wengne makanjanja tu bola wapo upepo ukivuma huku wapo kule wapo.bunge lililo pita baadh ya vikao nadhani walikuwemo 15 bungeni.hv pesa wanazolipwa si zingejenga hata matundu ya vyoo mashuleni au kuongeza madawati kwa watt wanaokaa chini.NAWASILISHA.
 
Back
Top Bottom