Waridi
JF-Expert Member
- Mar 30, 2008
- 1,025
- 174
Ahsanteni sana marafiki kwa kukitakia chama siku ya kuzaliwa yenye furaha. Tarehe kama ya leo, mwaka 1992 ndipo NCCR-Mageuzi kilipopata usajili wa kuwa chama cha siasa. Wazo (mimba) la kuundwa kwake lilikuja miezi saba kabla ya hapo, yaani mkutano wa wanamageuzi nchini uliofanyika 12 Juni 1991 na kuanzisha jitihada za kudai mfumo wa vyama vingi nchini na katiba mpya. Mkutano huo uliunda kamati iitwayo NCCR.
National Convention for Construction and Reform -Mageuzi (NCCR-Mageuzi) | Facebook
na
http://www.facebook.com/nccr.mageuzi#!/nccr.mageuzi/posts/221320821340617?notif_t=like
Sehemu ya pongezi;
"hurray happy birthday chama cha ukweli cha siasa hapa tanzania. Nyie ndio waanzilishi wa mchakato wa katiba watu hawajui,nyie mnafanya siasa za kweli nakumbuka marehemu Abdurahaman Mohamed Babu (prof) mgombea mwenza wa mrema 1995, marehemu Frank Kasanga Tumbo msomi aliyebanwa na utawala wa kwanza,akina Mh.Mbatia, Marando, Ndimara Tegambwage, Mustapha Wandwi, Harold Jaffu, Thomas Ngawaiya, Aman Walid Kabourou, Zakayo Chacha Wange (rip),Prof. Baregu Mwesiga,na wengine wengine nakumbuka katika bunge la kwanza la vyama vingi mwaka 1995 ambalo lilionyeshwa live na CTN, nakumbuka Marando na Lamwai (referred as senior and prominet advocate & mpjasisi added) walichachafya sana bunge hilo na kufanza kiapo kwa wabunge kirudiwe, nakumbuka kesi ya Chumchuma son of Marwa, wanasheria wa NCCR walifanya kazi, nakumbuka kesi ya Kihio mbunge wa kinondoni, nakumbuka kesi ya ubunge kule Kigoma ambapo mawakili mahiri wa NCCR Mageuzi walibadilisha matokeao ..."