Mnyika, Lissu wameianza kazi waliyotumwa

2c2

Member
Nov 5, 2009
98
5
Aanza kwa kuukosoa uchaguzi wa waziri mkuu kwani karatasi zilikuwa na serial numbers kitu ambacho kingesababisha aliyepiga kura kujulikana na hivyo dhana nzima ya USIRI kuondoka
 
Tindu Lisu naye aanza kwa kubainisha mapungufu yaliyojitokeza kuhusu hoja ya uteuzi wa waziri mkuu
 
Anne Makinda amtaka akatimizi kwanza wajibu wa uwakala kuhesabu kura halafu hoja zake zitajibiwa baadae nadhani spika anatafuta muda ili asaidiwe kisheria asikurupuke
 
Aanza kwa kuukosoa uchaguzi wa waziri mkuu kwani karatasi zilikuwa na serial numbers kitu ambacho kingesababisha aliyepiga kura kujulikana na hivyo dhana nzima ya USIRI kuondoka
Yaani kila mahali kuna dalili za ukosefu wa usalama...Utaratibu wa hatari sana huu na unaweza kuzua visasi!
 
kudhihilisha nini tume watuma bungeni chadema kupitia Tundu na Mnyika wamtia jambajamba Speaker leo:peep:
 
aanza kwa kuukosoa uchaguzi wa waziri mkuu kwani karatasi zilikuwa na serial numbers kitu ambacho kingesababisha aliyepiga kura kujulikana na hivyo dhana nzima ya usiri kuondoka

tundu lisu naye atema mfululizo wa cheche za mwongozo wa spika. Kazi kweli2
 
karatasi za kkumchagua waziri mkuu zilikuwa zina serial Number haoji usiri wa Uchaguzi huo, Tundu lisu nae haja juu hoja ya Waziri mkuu kutokujadiliwa,,,, ana ashindwa kumjibu anaonyesha kushindwa mwanzooooooooooooooni kabisa
 
Siyo mageni hayo mwaka 1995 Lamwai na Marando walisha yafanya hayo.Spika aliapishwa mara Tatu.
 
Kazi wanayo, na bila hilo kujibiwa basi waziri mkuu atakuwa batili kwa sababu hakupatikana kwa kufuata utaratibu.
 
dah noma yani nimetune itv muda nna bahati kweli nikaanza na Mnyika.Guys are confident and flowing with vigour.
Hapa kazi ipo!..I am starting to love this Tundu Lisu guy!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom