hivi kabla ya uislam na ukristu kuingia Tanzania nani alikuwa anachinja na watu kula nyama?wanaoendekeza mvutano wa kuchinja mi na waona masikini wa akili na kipato na hawana mambo ya msingi ya kufanya.mi leo kwa akili yangu siwezi kulazimishwa ni mchukie muumini wa dini fulani kwa hoja za kipumbavu.acheni uvivu wa kufikiri.