JUMAPILI, FEBRUARI 17, 2013 06:30 ELIYA MBONEA NA MARY MWITA, ARUSHA
​
RAIS Jakaya Kikwete amesema Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa alimsaidia sana kumuongoza na kumsogeza karibu na...
Mimi ni mkristu,nilisoma kidato cha 1 Ktk shule ya kiislam jumuiya Tanga na baadaye lwndai sec shule ya hanisa mwanzon mwa 1990s.Kwa sisi wanafunz kipind hicho hakukuwa na hisia za kidin kati...
Published on 12 Feb 2013Press TV's documentary program documentary "Tanzania's shift toward Israel" Looks at how Nyerere's policies of supporting the oppressed and the Palestinian cause have been...
Lisu VS Ndugai
Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni, Tundu Lissu na Naibu Spika, Job Ndugai, wameshikana mashati katika kile kinachotafsiriwa kama ni muendelezo wa ushindani unaotokana na...
Anayemuunga mkono Sitta atimuliwa
Mwenyewe asema, mbingu iko nyuma yake
Mnyukano wa kisiasa kwa makundi yanayotajwa kutaka kumsimamisha mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, umedhihirika...
*Asema kisipotekeleza kitaanguka
*Amshangaa Mangula kuhusu rushwa
MWANASIASA mkongwe nchini na muasisi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kingunge Ngombale Mwiru, amekitabiria ushindi chama hicho...
UVCCM NA SIASA ZA MATAPISH!!!!
Na Francis Kessy,
Chama cha Mapinduzi ni chama kikongwe nchini, lakini katika anga za kimataifa bado ni chama kichanga Kama ukifananisha na chama kama Republic...
Nimegundua tokea hizi vurugu za kidini zianze mwaka jana ambapo zilianzia Zanzibar na kikundi cha uamsho then kuhamia Dar na leo Geita sehemu ambayo haina historia ya ujinga huu kutokea. Na sasa...
Sasa ni wakati muafaka kutaka katiba mpya kuweka na kutambua tume ya amani, maridhiano na utengamano... "the national peace, ohesion and integration commision", tume hii iwe na wajumbe kutoka...
Nipo tayari kurekebishwa, sio mwandishi mzuri yamkini nisikushawishi kwa hoja. Katika mada yangu iliopita "elimu ya mnyika" wengi waliochangia na wanaoendelea kuchangia nimeona mmoja tuu...
Hata kama mtu hampendi Dr. W. Slaa lakini nafikiri amefungua ukuras mpya wa kuijenga Tanzania iliyoharibiwa. Naomba tumuunge mkono wote kutokomeza wavuruga amani kwa siasa nyepesi za udini na...
habari wapendwa?
mimi ni kati ya watu ambao kimsingi nachukizwa sana na watu wachache ambao wanatumia maliasili kua sehemu za kujinufaisha wao na familia zao lakini wanasahau yakua watanzania...
Nawasalimi wakuu
Cc Nape JN
Hivi majuzi mara baada ya katibu wa bunge kulitangazia uma kuwa Bunge halitaonyweshwa live na waandishi wa habari kutopiga picha wabunge na hasa mawaziri...
Kwa kipindi cha zaidi ya miaka minne sasa Tz imekuwa ktk vuguvugu kali la mabadiliko ktk siasa zake na mfumo weke mzima. Embu tufanye tathimini ndogo sana khs hali ya siasa nchini kwetu.
Je...
Kulingana na matokeo ya utafiti uliofanywa na REPOA imeonekana kuwa 84 % ya watanzania wanahitaji katiba mpya.
Ikumbukwe kuwa mojawapo ya ahadi za chadema kwa wananchi katika uchaguzi wa 2010...
"Nasema mkome mara moja kufanya mauaji, mnanitia aibu nikiwa safarini nje ya nchi,nasema chonde chonde"
Au anaweza kusema:-
"Sasa basi, mtoto mkaidi mwache afaidi mpaka siku ya idi, msipo acha...
Asalam Wana Jf,
Kila nikikaa,nikilala nikiamka na nikitembea njiani pamoja na kukutana na wananchi mbalimbali,nazidi kuziona hisia zao kuhusu uchaguzi wa KUSISIMUA wa 2015.
Mbali na hisia...
Kikao Cha Baraza Kuu la UVCCM kinachoendelea hivi leo katika ukumbi wa whitehouse kimechelewa kuanza mpaka sasa kutokana na majadiliano yaliyozuka baina ya Wenyeviti wa Vijana wa Mikoa pamoja na...
Hii ni hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB) Freeman Mbowe ambayo alituma ujumbe mzito kwa watawala, viongozi wa dini na wananchi, siku ya mazishi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.