Nitangulie tu kusema kwamba mimi si Shabiki wa Mwakyembe. Na hata humu jamvini nimepata kumponda si mara moja wala mara mbili! Hata hivyo, nitakuwa mnafiki niliyekubuhu nitakaposhindwa kutamka...
RAIS WANGU KIKWETE BILA UMAKINI UTAIACHA NCHI KATIKA VISASI!
Rais wangu niliyasikiliza kwa makini sana mawaidha yaliyotolewa katika
swala ya Ijumaa iliyopita kama yalivyorushwa na kituo cha...
Serikali ya Chama cha Mapinduzi inamaslahi gani na Muungano kati ya Tanganyia na Zanzibari? Kuung'ang'ania huu Muungano ni kutaka kuendeleza umwagaji damu ya Wakristo wasiyo na hatia...
Sasa umefiaka wakati viongozi wetu mtoe maelekezo kwa wakristo na siyo kwa serikali tena. Haiwezekani mnatoa matamko na kuwaelekeza serikali chanzo cha chuki za kidini lakini bado baada ya muda...
Mh Mbowe akizindua kanda ya kaskazini leo kwenye ukumbi wa Njiro Complex amesema chama cha Demokirasia na Maendeleo akina dini wala akifungamani na Dini yoyote bali kinaeshimu dini zote na kila...
Nilipata fursa kuhudhuria kampeni za uchaguzi mdogo Igunga mwaka juzi nilijifunza mambo mengi ktk Siasa za Tanzania lakini kikubwa nilijifunza namna wabunge wetu wasivyokuwa na uwezo kujieleza na...
Rais Mstaafu wa Zanzibar, Baba wa Maridhiano ya wazanzibari na Serikali ya Umoja wa Kitaifa ambae ni mtoto wa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya watu wa Zanzibar, Mhe Amani Abeid Amani Karume leo...
Ndiyo Wakuu,
Heshima kwenu!
Kamanda Mawazo na Pamba wanashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Magu baada ya kutofautiana kauli na OCD-MAGU. Ikumbukwe kuwa jana ndo ilikuwa mwisho wa...
Katikati hapa tutashuhudia mengi. Jakaya alishasema kuwa hawezi kuicha Tanzania ikaenda upinzani. Kwa gharama yoyote Tanzania itabakia chini ya ccm. Hizi chokochoko za kidini zimesababishwa na...
...Katika hali inayoonekana ni mnyukano unaoendelea ndani ya UVCCM na CCM yenyewe, habari zilizopatikana muda huu toka Dodoma ni kuwa wajumbe wa kikao cha UVCCM kilichoanza jana wamesusia kikao...
MOTO wa kuwashtaki kwa wananchi Spika wa Bunge, Anne Makinda na Naibu wake, Job Ndugai uliowashwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Dar es Salaam Februari 10 mwaka huu...
Ndugu zangu watanzania wenzangu wa bara na visiwani. Kwa haya yanayotokea Zanzibar na bara, ukiyalinganisha na majibu ya rejareja ya serikali, mimi nadhani ni muda muafaka kanisa mahalia yaani...
Mh Rais , Taifa linahitaji tiba . Godbless Lema
Mh Rais , nakusalimu .
Mh Rais na huu ni ushauri wangu kwako kama Mkuu wa Nchi na mtazamo wangu juu ya matukio yanayotokana na changamoto...
kufuatia mauaji ya viongozi wa kikristo hivi karibuni tukianza na mchungaji wa Geita na padri Mushi wa Zanzibar ,kuna kila dalili ya wakristo kuchoka na matukio haya na wengine pengine wanawaza...
Ndugu zangu wana bodi,
Ebu tubadilishane mawazo kwenye hii issue! Je, mwaionaje?..
1. Tupo tayari kuukabiri Ubepari? au ndio tumeisha yavulia maji nguo!
2. Wakati nchi za magharibi wanajaribu...
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=83470&stc=1&d=1361099960
Kwa siasa zinavyopamba moto, kufikia 2015 tunaona na kusikia mengi kama siyo kupatwa na mishangao.
Niko kwenye mkutano wa CCM kata ya Goba Muda huu Nape yuko anahutubia.japo nimechelewa lakini nakusudia kuwapasha.
Nape kawatambulisha wale vijana waliofukuzwa chadema. Hiace na malori nayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.