SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Sadifa Juma Khamis kumvua ujumbe wa Baraza Kuu la umoja huo, aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Taifa...
Naiomba serikali kwa hatua ya awali kabisa ili kupambana na hili suala kwa kuitumia idara ya usalama wa taifa iliyo inchi nzima kupita mitaani na madukani kwa wauza cd/dvd kuzikamata cd zote zenye...
Saturday, February 16, 2013
Nape:BUNGE KURUSHWA LIVE KUTAIMALIZA CHADEMA..
*Asema wananchi wanakerwa na fujo zao bungeni.
*Adai zitapunguza idadi ya wabunge wao bungeni.
*Zitashusha hadhi yao...
Ndugu zangu,
Mengine tuandikayo tulishayaandika zamani. Tunayarudia maana yanayotokea sasa ishara zake tulishaziona, isipokuwa, tu mahodari sana wa kupuuzia.
Nimepata kuandika ( Raia Mwema) juu...
Habari kutoka ndani ya Bunge zinaeleza kuwa,
Tume ya Utumishi wa Bunge ambayo ndiyo ina
mamlaka ya kupiga marufuku kurusha
matangazo ya moja kwa moja ya vikao,
haikuwa na msimamo huo na kwamba...
One Does Not Kill A Priest, Not A Sheikh Either!
- Padri hauawi, hata Sheikh pia...
Ndugu zangu,
Nimepokea kwa masikitiko makubwa habari za kuuawa kwa Padri Mushi wa Kanisa la Minara...
Saumu Kisena akionyesha kitambulisho chake cha kazi ,Saumu ameitumikia Chadema kwa miaka tisa lakini ameshindwa kupata haki zake za msingi kama mfanyakazi, na hivyo ameamua kujiunga na CCM...
Kwa mtazamo wangu sikutegemea kabisa kama chama cha siasa kikongwe kama CCM kutumia muda wake mwingi kuelezea mambo ya umbea kwa kushirikisha viongozi wakubwa kabisa wa serikali katika umbea huo...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake vinaelekea katika kifo, lakini viongozi, makada, mashabiki na wanachama wake hawataki kusikia utabiri wa chama chao kuelekea kuzimu. Hawataki kusikia...
Wanasayansi wa mambo ya afya wanapotafutaga dawa ya kutibu ugonjwa fulani, mara nyingi wanatumia muda mwingi kujifunza juu ya wadudu wanaosababisha ugonjwa. Watajifunza juu ya hao wadudu...
Hivi karibuni gazeti hili liliripoti kuwa Spika Makinda amepokea ujumbe mfupi wa simu zaidi ya 400 na kupigiwa simu zinazofikia 200 za kumkashifu na vitisho.
SPIKA...
Nimetafakari matukio baadhi kati ya mengi yenye sura ya udini nikianzia na yale ya kuchomwa kwa makanisa kule mbagala na Zanzibar, kupigwa risasi kwa Padri Ambrose kule Zanzibar, Kuchinjwa kwa...
Sakata kati ya Gazeti la Tanzania Daima na Jeshi la Polisi linafukuta. Jana katika habari ya mbele ya Gazeti hili kulikuwa na kichwa cha habari,Wasira, Mwema Watimuliwa: Mauaji ya Mchungaji Geita...
Mgogoro waendelea kufukuta Dodoma kutokana na Mwenyekiti wa UVCCM taifa kuendesha kikao kibabe huku akifukuza vijana wanaoonekana kuwa changamoto na kikwazo kwake.
Hatua hiyo imepelekea Jipu...
Wadau katika mchango wa mada nyingi zilizo huku kuna watu wanaita wenzao mashoga. Je hili jina basha na shoga asili yake wapi wanajf? Hi ni kwa sababu huwezi kuwa na lugha fulani kuhusu tabia au...
Katika kile kinachoonekana kupuuza maneno ya hovyo dhidi ya Chadema yaliyotolewa na makada wa CCM jana huko Temeke mwisho,vyombo mbalimbali vya habari vimekataa kutoa uzito kwa mkutano huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.