Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Picha za moja ya shule ya msingi jimbo la Ole Medeye (Enjoro) wanafunzi wa darasa la tano wanasomea chini ya mti huku walimu wakiishi kwenye mapango kama picha zinavyoonyesha, hakika CCM haina nia...
7 Reactions
96 Replies
10K Views
Mimi ni mkazi wa maeneo ya Kimara-Golan, nje kidogo ya Jiji la Dar-es-salaam. Kwa muda wa takribani wiki 2 sasa, wizara ya ujenzi, imekuwa katika pilika pilika kubwa kufanya maengenezo kwenye...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mkazi wa maeneo ya Kimara-Golan, nje kidogo ya Jiji la Dar-es-salaam. Kwa muda wa takribani wiki 2 sasa, wizara ya ujenzi, imekuwa katika pilika pilika kubwa kufanya maengenezo kwenye...
1 Reactions
0 Replies
924 Views
  • Closed
Nimezungumza na mmoja wa watumishi wa mashirika ya kimataifa (one of UN agencies) huko Zanzibar jana usiku na kitu kimoja cha kunishtua kuwa alikuwa anasubiria "roll call'. Nilipomdadisi akasema...
8 Reactions
119 Replies
10K Views
Ngugu zangu hapa nilipo gari la matangazo linapita kwenye viunga vya Goba katika jimbo la ubungo,likitoa matangazo ya mkutano mkubwa sana, Utakuwa mkutano wa kuwajibu magamba juu ya uongo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kila Mtanzania sasa anajadili matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2012 yaliyotangazwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi mwanzoni mwa wiki hii. Matokeo hayo yanaonyesha kwamba zaidi ya...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Do free and competitive elections make a democracy? Maybe not 21 FEB, 2013 | By Lauren Bishop Tanzania looks an awful lot like a democracy. The East African nation has been holding multi-party...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani leo ni siku iliyokua inasubiriwa kwa hamu na wana Tabora, Kigoma, Rukwa na Katavi katika uzinduzi wa kikanda unaoendelea nchi nzima. Makamanda wote mlioko Tabora tunawaomba mtupe...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kamanda wa poli kwa poli,kijiji kwa kijiji,baada ya kufanikisha kuwabwaga mafisadi katika chaguzi ndogo za serikali za mitaa,wilayani Magu kwa ushindi wa kishindo,na kufanikisha kuhutubia katika...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Pia huko wilaya mpya ya Momba katika kijiji cha Lwatwe kulikuwa na uchaguzi wa m/kiti wa kitongoji.Matokeo ni kuwa mgombea wa CHADEMA amembwaga wa CCM. Mwaka huu watalizwa sana.
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Watumishi wa umma kuanzia Rais na watumishi wengine wanaofuatia, utumishi wao hukoma pale anapoachia madaraka aliyo nayo kwa mwingine anayefuata kukalia kiti cha uongozi. Kwa maana hiyo matumizi...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
BUNGE linatarajia kufuta utaratibu wa kurusha matangazo ya moja kwamoja kupitia televisheni kwa madai ya kukomesha vitendo vya baadhi ya wabunge kukiuka kanuni za bunge na kuleta vurugu kwa...
8 Reactions
429 Replies
31K Views
Akiongea kwa kujiamini na kwa bashasha kubwa,Mjumbe mpya wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Silaa amesema kuchaguliwa kwake CC kumechangiwa na kiasi kikubwa na CHADEMA...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
ILI KURUDISHA SHUKRANI KWA WALIPA KODI WALIONISOMESHA HADI CHUO KIKUU ...NIMEAMUA KWENDA KUGOMBEA UDIWANI NYUMBANI KINAMPANDA ,IRAMBA KWA TIKETI YA CHADEMA! MALENGO YANGU YA MUDA MFUPI Kuondoa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwanza salamu, pia niwatakie heri ya Christmas na mwaka mpya. Hoja ya msingi ni MALIPO YA LEMA YANAONYESHA UDHAIFU WA MFUMO WETU. Lema atalipwa milion 85 Tsh/= kama malimbikizo kwa kusimamishwa...
12 Reactions
190 Replies
14K Views
Heri ya mwaka mpya wanaJF Kwa muda sasa tumekuwa tukisikia/shuhudi matukio ya ajabu ajabu yanayohusu ulinzi wa mipaka yetu, lakini cha ajabu ni kwamba JWTZ mara zote wamekuwa wakimya na hakuna...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Anayetakiwa kujiudhuru ni RAIS WETU wala sio waziri Kawambwa "Asiyetaka kufanya kazi kwa mshahara huu wa ualimu aache kazi" Hii ni moja ya kauli aliyowahi kuitoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Majina ya Obama,raisi Kikwete na Ridhiwani yatumika kutapeli watu mamilioni ya fedha kwa kutmia kampunu feki inayodai kutoa mikopo kwa njia ya mtandao.Kampuni hio ya kitapeli inayofananishwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama cha mapinduzi zanzibar kiliwahi kuunda kikundi cha janawiri munamo miaka ya 2000 na kukitumia kikundi hiki cha janjawire kwa kufanya hujma na ubadhirifu wa aina nyingi sana na mpaka leo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ninashawishika kusema hivyo baada ya kuiangalia katiba ya kenya katika maeneo muhimu manne(4) 1. Katiba ya Kenya imeruhusu kuwa na tume huru ya Uchaguzi ambayo utendaji wake hauwezi kuingiliwa na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…