VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Akiongea kwa kujiamini na kwa bashasha kubwa,Mjumbe mpya wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Silaa amesema kuchaguliwa kwake CC kumechangiwa na kiasi kikubwa na CHADEMA. 'Ndugu wajumbe,siasa za ndani ya chama chetu zimebadilika. Hivi sasa ukitaka kushinda lazima upambane na CHADEMA na uonekane.Mimi nilifanya hivyo. Niliisambaratisha CHADEMA kihoja na hata kikejeli' alisema huku akishangiliwa.
'Nanyinyi igeni mfano wangu;pambaneni nao ili muaminiwe na chama. Ikibidi hata kuwatukana viongozi wao wakuu,fanyeni hivyo.Chama kitawatunuku' alimaliza bila ya kubainisha ni wapi na lini aliwadhibiti CHADEMA kama alivyodai.
Chanzo: Kikao cha kumpongeza kilichoandaliwa na Makada wa Ilala na kufanyika jana Ofisi Ndogo za chama Lumumba.
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam

Last edited by a moderator: