CCM chali huko Momba!"

CCM chali huko Momba!"

Welu

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
852
Reaction score
303
Pia huko wilaya mpya ya Momba katika kijiji cha Lwatwe kulikuwa na uchaguzi wa m/kiti wa kitongoji.Matokeo ni kuwa mgombea wa CHADEMA amembwaga wa CCM. Mwaka huu watalizwa sana.
 
ccm kote wanapigwa, nyuma wamepigwa mbele wamepigwa............ .. yaan kote manundu
 
Pia huko wilaya mpya ya Mombo katika kijiji cha Lwatwe kulikuwa na uchaguzi wa m/kiti wa kitongoji.Matokeo ni kuwa mgombea wa CHADEMA amembwaga wa CCM. Mwaka huu watalizwa sana.

Hii ni faraja kubwa sana Mungu anawapa wapenda mabadiliko! Mkuu Momba iko wapi?
 
Thread ingekuwa tamu zaidi kama angeweka na data kabisa mhusika.
 
Pia huko wilaya mpya ya Momba
katika kijiji cha Lwatwe kulikuwa na uchaguzi wa m/kiti wa
kitongoji.Matokeo ni kuwa mgombea wa CHADEMA amembwaga wa CCM. Mwaka huu
watalizwa sana.

Hawachelewi kusitisha chaguzi zote, ili wasiendelee kudhalilika...
 
Kwa dalili hizi msingi wa CCM unaelekea kubomoka kabisa maana majivuno yalikuwa kwamba bado wana nguvu vijijini.Hakika yale marefu yenye ncha karibia yatafikiwa! Magamba yanachukia habari hizi eti yanajifanya hayajui kwamba chururu si ndo ndo ndo!
 
Ndo namna ya kujijenga kichama hiyo, don't give up CHADEMA
 
Momba toka wilaya mama ya Mbozi.
 
Back
Top Bottom