Picha: Aibu jimboni kwa Ole Medeye

Picha: Aibu jimboni kwa Ole Medeye

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Picha za moja ya shule ya msingi jimbo la Ole Medeye (Enjoro) wanafunzi wa darasa la tano wanasomea chini ya mti huku walimu wakiishi kwenye mapango kama picha zinavyoonyesha, hakika CCM haina nia njeama na watanzania na kama watanzania nao wataendelea kulala basi tusishangaa watoto kuchora picha za ZOMBI na Messi.
photo11.JPG
photo13.JPG
photo14.JPG
Juu ni baadhi ya madarasa ya shule ya msingi Enjoro
photo15.JPG
photo17.JPG
Juu ni baadhi ya nyumba wanazoishi walimu..
 
Aibu iko wapi hapo wakati hiyo ndiyo hali halisi ya sehemu nyingi za Tanzania?
Vipi na wewe ulisoma shule kama hii kama ndiyo mwaka gani? nakwanini hakuna mabadiliko ili hali deni la taifa lina zidi kuongezeka achilia mbali rasilimali tulizonazo....je kuna haja ya kuendelea na utwala huu..
 
kamanda hakuna haja yakubeba hili gamba 51yrs enough
 
Jamani hali hii inatisha. Nchi hii inahitajaji ukombozi wa awamu ya pili na watakoikmboa nchi hii ni mimi na wewe tuchukue hatua. Hali hii mpaka lini? watoto wetu wataenda wapi kwa hali hii. Mimi naahidi kuchukua hatua 2015 this is too much and it is not acceptable. Huu ni mfano mmoja tuu sijui maeneo mengine hali ikoje. Mungu utunusuru na janga hili la kitaifa.
 
Yani sijui viongozi wa Tanzania, huwa wanafikiria nini kwenye akili zao.Nchi kama yetu yenyewe, dhahabu, almasi, wildlife, mountains,oceans, etc hatuna sababu ya kuishi katika haya mazingira ya ufukara. Elimu duni wanafunzi wanayoipata , itaendeleza hii hali. its time for we as , the people to rise up and knockdown CCM govt. There is no justification to all these stuffs happening in a rich country.
 
Hapo kwenye nyekundu naomba iwe 2014 kwani kama wangekuwa na serikali ya kijiji iliyo makini pengine isingekuwepo sasa basi kwa kuwa mwakani tuna uchanguzi wa wa serikali ya vijiji ndiyo hapo tuna takiwa kuanza mabadiliko....
 
zomba, Je, na hii imekosa pesa zote; za MoU, UAMUSHO na za OIC?!
 
Last edited by a moderator:
Yani sijui viongozi wa Tanzania, huwa wanafikiria nini kwenye akili zao.Nchi kama yetu yenyewe, dhahabu, almasi, wildlife, mountains,oceans, etc hatuna sababu ya kuishi katika haya mazingira ya ufukara. Elimu duni wanafunzi wanayoipata , itaendeleza hii hali. its time for we as , the people to rise up and knockdown CCM govt. There is no justification to all these stuffs happening in a rich country.
Mkuu inakera sana ukiona nyumba wanazo ishi walimu ambao ndiyo tuna wategemea watufundishie watoto wetu halafu ukakumbuka na mshahara wanaolipwa halafu madarasa na idadi ya watoto kwenye darasa moja unapata jibu kabisa kwanini watoto wanaandika ZOMBI badala ya kuweka majibu ya kueleweka...
 
Mkuu, we are in another phase of fighting for Independence again. Yani huwa nikifikiri resources zote tulizo nazo hali iko hive. Je tungekuwa hatuna ? Bila another political party in power we are never gonna progress.
 
Sawa kabisa mkuu infact wala siyo 2014 tuchukue hatua ya uhamasishaji kuanzia sasa ili tufanikiwe kuyaondoa haya majizi kuanzia kwenye chaguzi za 2014. Mimi nimeshaanza uhamasishaji. Yaani kwa hali hii future ya watoto wetu haipo kabisa mabadiliko ni lazima. Hamasisha mabadiliko popote pale ulipo.
 
Ni huzuni kubwa kuwa miaka 50 lakini hata mambo madogo na ya kawaida yamewashindaCCM.

Kuna msemo kuwa mtaji wa kura kwa CCM ni umaskini na ujinga wa Watanzania. So kwa picha hizi ni wazi msemo huu una ukweli mnene kwani hakuna namna elimu bora itawezekana ktk hayo mazingira. So Ujinga sio adui wa CCM bali ni rafiki wa CCM.

Lema hatari, hana mipaka! Hapo alienda kufuatilia maendeleo kwenye jimbo la mbunge mwenzake......uwajibikaji adimu ktk mazingira ya leo
 
Naona Lema amekuwa mkaguzi wa majimbo ya wenzake,vipi zile ahadi zake za trekta,hospitali?
 
Naona Lema amekuwa mkaguzi wa majimbo ya wenzake,vipi zile ahadi zake za trekta,hospitali?[/FO

ahadi ya hosp imeshatekelezwa, ya helkopta labda mliongea chumbani! Unalingine?
 
Back
Top Bottom