Updates uzinduzi wa kanda ya magharibi.

Updates uzinduzi wa kanda ya magharibi.

JERUSALEM 2006

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
527
Reaction score
596
Jamani leo ni siku iliyokua inasubiriwa kwa hamu na wana Tabora, Kigoma, Rukwa na Katavi katika uzinduzi wa kikanda unaoendelea nchi nzima.

Makamanda wote mlioko Tabora tunawaomba mtupe updates za moja kwa moja toka Tabora na viunga vyake.
Kuna taarifa kuwa Kamanda wa mashambulizi ya Anga Mh. Freeman Mboye naye atakuwepo.
 
Huwa najiuliza kama Chadema isingekuwepo sijui siasa zetu zingekuwaje. Kimsingi hawa jamaa wanajitahidi sana kufanya siasa za Tanzania ziwe active; na ndivyo inavyotakiwa badala ya siasa za kusubiri wakati wa uchaguzi. Hata UAMSHO kule Zanzibar kama wasingekuwa wanahubiri chuki na kuhamasisha mauwaji walikuwa kwenye mkondo sahihi kama wangegeuza jumuiya yao kuwa chama cha siasa.
 
Mkuu , cdm waache kabisa kugawa viroba kwenye mikutano ya uzinduzi wa hizi kanda
 
Mkuu sidhani kama hao jamaa wanatoa takrima kama wale wengine; hata "fadhila" za mafuso kwa ajili ya kusomba watu huko vijijini au mji mmoja kwenda mwingine hawafanyi hivyo. Hata hivyo kama kuna tuhuma za aina hiyo zifikishwe kwa Msajili ili wachukuliwe hatua za kisheria kwani takrima ni kosa kisheria. Labda kama viroba unamaanisha ile dozi wanayopatiwa wananchi wakaondoka roho zao zimesuuzika hapo nimekupata Kamanda.
 
Huwa najiuliza kama Chadema isingekuwepo sijui siasa zetu zingekuwaje. Kimsingi hawa jamaa wanajitahidi sana kufanya siasa za Tanzania ziwe active; na ndivyo inavyotakiwa badala ya siasa za kusubiri wakati wa uchaguzi. Hata UAMSHO kule Zanzibar kama wasingekuwa wanahubiri chuki na kuhamasisha mauwaji walikuwa kwenye mkondo sahihi kama wangegeuza jumuiya yao kuwa chama cha siasa.
Dalili ya Mvua ni Mawingu,kinachoonekana hapa ni CDM kuchukua dola 2015,
 
Back
Top Bottom