Watumishi wanaitishana 'roll call' Zanzibar...

Status
Not open for further replies.

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,202
Reaction score
44,225
Nimezungumza na mmoja wa watumishi wa mashirika ya kimataifa (one of UN agencies) huko Zanzibar jana usiku na kitu kimoja cha kunishtua kuwa alikuwa anasubiria "roll call'. Nilipomdadisi akasema kuwa siku hiizi baadhi ya mashirika ya kimataifa na hata ya ndani yameanza kuwataka wafanyakazi wao kutembea na radio call na ikifika majira ya jioni basi wanatakiwa ku 'call in' kucheck kuwa wapo salama... na pia mkubwa wao kuita radios za watumishi kuhakikisha wanajibu.. mfanyakazi ambaye katika muda husika hawezi kupatikana kwenye radio call yake husababisha msako...

Kweli Zanzibar imefika hapo...? Kuna wengine wenye experiences kama hii au ni one of the 'isolated cases" hizi?
 
Ugaidi unazidi kuongezeka,na itafika mahali zanzibar haitakalika tena!
 
Sasa na biahsara ya utalii si itakufa jamani!
 
Nategemea kuona utalii pia Zanzibar unapungua kwa kiasi cha ajabu na kupoteza msisimuko wake kwa watalii,Watu watapoteza kazi sana..Rafiki zangu watano wakigeni wamefuta safari zao kwenda zanzibar.
 
Nimezungumza na mmoja wa watumishi wa mashirika ya kimataifa (one of UN agencies) huko Zanzibar jana usiku na kitu kimoja cha kunishtua kuwa alikuwa anasubiria "roll call'. Nilipomdadisi akasema kuwa siku hiizi baadhi ya mashirika ya kimataifa na hata ya ndani yameanza kuwataka wafanyakazi wao kutembea na radio call na ikifika majira ya jioni basi wanatakiwa ku 'call in' kucheck kuwa wapo salama... na pia mkubwa wao kuita radios za watumishi kuhakikisha wanajibu.. mfanyakazi ambaye katika muda husika hawezi kupatikana kwenye radio call yake husababisha msako...

Kweli Zanzibar imefika hapo...? Kuna wengine wenye experiences kama hii au ni one of the 'isolated cases" hizi?

Lakini Wazanzibar wengi wamechukizwa sana na kitendo hicho (cha Mauaji ya Fr. Mushi), maana jana niliongea na watu kadhaa wa huko Zanj na walisema Zanj ilikuwa imepoa sana siku nzima na majority hawakupendezwa kabisa na walikuwa wanalaani hiyo hali
 
Kweli tuna roho tofauti. Ila fagio la roho ni elimu.
 
Lakini Wazanzibar wengi wamechukizwa sana na kitendo hicho (cha Mauaji ya Fr. Mushi), maana jana niliongea na watu kadhaa wa huko Zanj na walisema Zanj ilikuwa imepoa sana siku nzima na majority hawakupendezwa kabisa na walikuwa wanalaani hiyo hali

Ni unafiki tu! Umeshaona sherehe za Muungano zinavyofana lakini muda kidogo baadae madongo kibao. Siamini mpaka li-CCM limekufa- sasa naanza kupenda siasa!
 
hawa watu hawataki muungano na ukristo, sasa kama muungano utakufa, hapo zbar patakalika ikiwa sasa ndio hivi? Kwa sababu inavyoonyesha srekali ya muungano ndiyo inayosababisha zbar ionekane tulivu
 
Eti wanataka kujitenga!
Alafu wakiisha jitenga baade watusumbue kwa mapigano ya wenyewe kwa wenyewe
Dawa yao tuwaweke kwenye probation period ya miaka 50! Kabla ya kuwaachia huru
 
Zanzibar wamebip!.. Victims watapiga!... Ukigeuza nyumbani kwako kuwa uwanja wa vita madhara yake lazima yakupate na wewe!
 
That is well known mzee mwanakijiji, islamic extremism is a threat to world peace, and now for Zanzibar it is advancing, this is more dangerous.
Ni afadhali ktk sehemu ambazo tayari wameshakuwa magaidi tayari, kuliko sehemu ambazo ndio wanajifunza kuwa magaidi kama Zanzibar maana watahitaji kufanya mauaji zaidi ili wajulikane kwa wenzao. Nashauri Zanzibar itangazwe kuwa ni sehemu hatari ya kuishi binadamu.
 
Sasa na biahsara ya utalii si itakufa jamani!

Itakufa mara ngapi wakati ndio sasa inasubiriwa kuzikwa ndugu yangu? Ngoja hao wanaofanya fujo, watakuja stuka kuvuta Blanketi wakati ni adhuhuli tayari.. watakapo anza kukosa huduma muhimi ndio wataanza kutafakali hasara za kuwauwa watumishi wa mungu na kufanya fujo kudai kwamba Zanzibar ni koloni la Tanganyika ...
Ngoja ..ni muda tu utaona.. hao wafanyao fujo na ndugu zao wataanza kukimbilia uhamishoni na kuwa wakimbizi tanganyika na kwingineko....

Kikwete anawaletea wapelelezi wa kimataifa labda kutoka FBI na M16 ili wawafanyie profiling na kuzima milija ya siku zao za usoni kufanya fujo au kuleta chokochoko sio tu TANZANIA bali sehemu au nchi yoyote huko Duniani...
 
Nimezungumza na mmoja wa watumishi wa mashirika ya kimataifa (one of UN agencies) huko Zanzibar jana usiku na kitu kimoja cha kunishtua kuwa alikuwa anasubiria "roll call'. Nilipomdadisi akasema kuwa siku hiizi baadhi ya mashirika ya kimataifa na hata ya ndani yameanza kuwataka wafanyakazi wao kutembea na radio call na ikifika majira ya jioni basi wanatakiwa ku 'call in' kucheck kuwa wapo salama... na pia mkubwa wao kuita radios za watumishi kuhakikisha wanajibu.. mfanyakazi ambaye katika muda husika hawezi kupatikana kwenye radio call yake husababisha msako...

Kweli Zanzibar imefika hapo...? Kuna wengine wenye experiences kama hii au ni one of the 'isolated cases" hizi?

Mkuu MMK kuna uvumi umezagaa mtaani eti wakristo zanzibar wameambiwa hawatakula pasaka kwa raha??? please kwa uthibitisho tuu waweza kutujuza hizi habari ni za kweli au ni uzushi,
mchango wangu kwenye thread ni kuwa mimi nitapata faraja kama mtu atawajibika kwa uzembe unaoendelea
 
Mkuu Naibili sio tetesi, ni vipeperushi pamoja na vitisho vya maneno vilivyotamalaki visiwani. Hii kitu iliripotiwa jana kufuatia tukio la kupigwa risasi padre. Kwamba polisi wanaelewa wazi kuwapo tishio hilo, lakini haikuchukua hatua yoyote. Mwaka huu hakuna sikukuu yoyote ya kikristu itafanyika kwa amani visiwani zbar. Ujumbe ndio huo.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom