Majimbo ya Magu na Busega yaanza kwenda CHADEMA

Majimbo ya Magu na Busega yaanza kwenda CHADEMA

Bukutonaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
246
Reaction score
46
Ndugu wana Jamvi!

Kwa taarifa nilizozipata tangu jana saa mbili usiku CHADEMA imeinyanyasa vibaya CCM-Police ni katika uchaguzi wa vijiji na vitongoji vilivyopo katika wilaya hii ya Magu na Busega maana mpaka mda huo nilipata highlight kuwa pale Magu mtaa wa Bank ambao ni kitovu cha Mji mtaa umeenda CHADEMA na Kwa Busega Kitongoji cha Nyashimo ambapo hata ofisi ya sasa ya mkuu wa wilaya ipo nao umeenda na CHADEMA + Nafasi nne za wajumbe wa serikali ya kijiji nafasi zote zimeenda CHADEMAso siyo mbaya nikisema hata Mzindakaya Jr ni mwanachama wetu sasa maana atafanya kazi zake chini ya uangalizi wa makamanda.

Siyo hapo tu na vijijini tumeburuza vya kutosha wasukuma tuna msemo wetu (TUTUDAKAGA TUJA BATU TUJA NO) Tafasiri ya haya maneno "HATUTAKI DHARAU WAMETUDHARAU VYA KUTOSHA" Mpaka mida ya saa 2 asubuhi ntakuwa na matokeo ya Vijiji vyote Just follow me.

:welcome:- T 2015 CDM
 
Asante sana Kamanda kwa taarìfa nzuri kama hii.

Nina swali 1 tu kwako, Mzindakaya Jr ndo nani?
 
Vipi Magu hali iko vipi? bado kura zinahesabiwa?
 
Wakati wa mabadiliko ndiyo sasa, CCM na polisi CHADEMA na watu
 
Asante sana Kamanda kwa taarìfa nzuri kama hii.

Nina swali 1 tu kwako, Mzindakaya Jr ndo nani?

Ndo mkuu wa Wilaya ya Busega huyu ni kijana wa Mzee Mzindakaya
 
Vipi Magu hali iko vipi? bado kura zinahesabiwa?

Wamemaliza nilipata Kahangara na Mtaa wa Bank kuwa CHADEMA imechukua ndiyo maana nimeomba kufikia saa 2 ntamwaga hapa kila kitu
 
Wamemaliza nilipata Kahangara na Mtaa wa Bank kuwa CDM imechukua ndiyo maana nimeomba kufikia saa 2 ntamwaga hapa kila kitu

Mungu awe nawe mkuu Bukutonaga,tunayasubiri matokeo yote kwa hamu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Bukutonaga tunaomba pia utukulishe kiti kipi kilikuwa cha nani na kikachukuliwa na nani ili tujue tumevuna nini
 
Kuna kitu nilijiuliza sana baada ya kuona picha za mkutano wa juzi wa CCM uliofanyika Temeke, moja kwa moja nilihisi jamaa wamepiteza mvuto. Ni kama chama hakikui zaidi ya kumaintain hao waliopo ambao nao wamekosa matumaini na chama chao.

Hali hii inanipa imani kuwa 2014 uchaguzi wa serikali za mitaa madaraka mengi yataporwa mikononi mwa CCM na kuanza kuhatarisha madaraka ya CCM 2015.
 
Nakesha na huu uzi leo, nimenunua vuvuzela nahisi mtanikuta Muhimbili wakidhania ni kichaa kwa furaha niliyo nayo naamua kujitoa akili asante Bukutonaga
 
Last edited by a moderator:
Ndugu wana Jamvi!

Kwa taarifa nilizozipata tangu jana saa mbili usiku CDM imeinyanyasa vibaya CCMPolice ni katika uchaguzi wa vijiji na vitongoji vilivyopo katika wilaya hii ya Magu na Busega maana mpaka mda huo nilipata highlight kuwa pale Magu mtaa wa Bank ambao ni kitovu cha Mji mtaa umeenda CDM na Kwa Busega Kitongoji cha Nyashimo ambapo hata ofisi ya sasa ya mkuu wa wilaya ipo nao umeenda na CDM + Nafasi nne za wajumbe wa serikali ya kijiji nafasi zote zimeenda CDM so siyo mbaya nikisema hata Mzindakaya Jr ni mwanachama wetu sasa maana atafanya kazi zake chini ya uangalizi wa makamanda.

Siyo hapo tu na vijijini tumeburuza vya kutosha wasukuma tuna msemo wetu (TUTUDAKAGA TUJA BATU TUJA NO) Tafasiri ya haya maneno "HATUTAKI DHARAU WAMETUDHARAU VYA KUTOSHA" Mpaka mida ya saa 2 asubuhi ntakuwa na matokeo ya Vijiji vyote Just follow me.

:welcome:- T 2015 CDM

Mwaga matokeo baba hii ndo saa mbili yenyewe! Jana niliskia kama tumelamba vijiji vyote magu na busega vilikuwa 9!
 
Rais Jakaya Kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM anapaswa kulitendea taifa hili haki kwa kuanza kuiandaa CCM kisaikolojia na kisiasa kuachia madaraka 2015; na pia anapaswa kuanza kuiandalia CHADEMA mazingira ya kushika dola 2015! hakuna namna nyingine CCM itasalimika 2015!
 
Bomba CHADEMA mwendo mdundo mkuu saa mbili ndio hiyooooo tujuze tuanze mafuraha
 
Magu mimi nimeenda. Nimeona. Watu wana kiu ya CHADEMA mpaka wanaanza kukuulizia kuhusu kufanya mikutano just because unamjua Sugu or someone similar on a personal capacity.

Watu wana kiu huko hata CHADEMA bila kuanza ku campaign umasikini ulioletwa na CCM na uonevu wa wazi unaolindwa na CCM usha campaign for CHADEMA tayari . Labda washindwe wenyewe CHADEMA.
 
Busega lazma nichukue,, hawa CCM hawana lolote huko tokea uhuru!
Ndugu wana Jamvi!

Kwa taarifa nilizozipata tangu jana saa mbili usiku CDM imeinyanyasa vibaya CCMPolice ni katika uchaguzi wa vijiji na vitongoji vilivyopo katika wilaya hii ya Magu na Busega maana mpaka mda huo nilipata highlight kuwa pale Magu mtaa wa Bank ambao ni kitovu cha Mji mtaa umeenda CDM na Kwa Busega Kitongoji cha Nyashimo ambapo hata ofisi ya sasa ya mkuu wa wilaya ipo nao umeenda na CDM + Nafasi nne za wajumbe wa serikali ya kijiji nafasi zote zimeenda CDM so siyo mbaya nikisema hata Mzindakaya Jr ni mwanachama wetu sasa maana atafanya kazi zake chini ya uangalizi wa makamanda.

Siyo hapo tu na vijijini tumeburuza vya kutosha wasukuma tuna msemo wetu (TUTUDAKAGA TUJA BATU TUJA NO) Tafasiri ya haya maneno "HATUTAKI DHARAU WAMETUDHARAU VYA KUTOSHA" Mpaka mida ya saa 2 asubuhi ntakuwa na matokeo ya Vijiji vyote Just follow me.

:welcome:- T 2015 CDM
 
Rais Jakaya Kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM anapaswa kulitendea taifa hili haki kwa kuanza kuiandaa CCM kisaikolojia na kisiasa kuachia madaraka 2015; na pia anapaswa kuanza kuiandalia CHADEMA mazingira ya kushika dola 2015! hakuna namna nyingine CCM itasalimika 2015!

Hili ndilo neno kuu la pembeni, litakuwa neno kuu la kati. take my words.
 
Back
Top Bottom