Vurugu bungeni - Mh. Lema na Nape live DW

Gefu

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
6,930
2,554
Wana jf Mh. Lema na Nape wako live DW radio sasaivi kuhusu vurugu zilizotokea bungeni !

Lema anadai Demokrasia inafunikwa na ccm

Nape; wabunge wengine hawaheshimu viapo,wamekosa hoja wanatafuta namna yoyote ili kuleta fujo

Nape; Chadema wanatoka nje ya bunge kwa ujinga wao !

Mwandishi; CCM hawako tayari kukosolewa ndo maana wanaover react

Lema; Siwezi kutii sheria yoyote inayo kandamiza wanyonge

Lema; anasisitiza kinachotokea ni ukandamizaji wa demokrasia na wakitafuta fursa ya kusema wananyimwa kutokana na uchche wao
 
Kwa nini wasimuite Ndugai, kwani Nape ni mbunge wa wapi? CCM nayo inatia huruma, kuwakilishwa na Nape ni sawa CDM iwakilishwe na She-Budha

DW wanasema wamemwita kwakuwa chama chake ndo kinashutumiwa
 
Hivi hawa wakina nape wameisha wahi Kuona Bunge La Australia? Na Australia iko kwenye Top ten ya Nchi zenye democrasia ya hali ya juu Duniani, Austrlia huwa ni mkono na hadi wabunge wanapigana na viatu, Au Bunge la India, Nchi yenye Democrasia ya kipekee duniani,
 
Nape tiyari kajaa upepo ashawatukana chadema kua wanatoka nje sababu ya ujinga wao,. Mwandishi wa DW amemwambia nape afute hilo neno
 
Sitotii sheria yoyote bungeni inamkandamiza mnyonge huo ni msimamo wangu na familia yangu by.Godbless lema
 
kuliko ndugai afazali hata nape...jana ndugai alionesha jinsi alivo mtupu katika kujenga hoja mbele ya lissu na wanaharakati!
 
Kitendo cha kuridhia Lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya DW tayari ni tatizo. CHADEMA wangempeleka Lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama Nape.

Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Daa hawa chadema wanazidi kuwagalagaza ccm kwenye mijadala, jana ndugai hoi leo nape hoi kwa lema,.

Kweli tanzania akili ndogo ya wanaccm inaongoza akili kubwa ya chadema na wananchi wengine.
 
Kitendo cha kuridhia Lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya DW tayari ni tatizo. CHADEMA wangempeleka Lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama Nape.

Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

my God! Nape naye ni makini? Uuuwiiii
 
Kitendo cha kuridhia Lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya DW tayari ni tatizo. CHADEMA wangempeleka Lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama Nape.

Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

nepi nae ni mtu makini? Mbulula
 
Sasa Nape amejua lini maana ya demokrasia na utawala bora? Yeye si alifundishwa aseme "CCM itaongoza milele"
 
kitendo cha kuridhia lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya dw tayari ni tatizo. Chadema wangempeleka lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama nape.

Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.

Sent from my blackberry 9300 using jamiiforums

fikiria kwa makini alafu rudi tena kuchangia nahisi utakuja na mawazo mapya yenye hekima
 
Kitendo cha kuridhia Lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya DW tayari ni tatizo. CHADEMA wangempeleka Lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama Nape.

Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

kaka inaonekana uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana, Lema ni jembe mpaka jk anamuogopa lema. matamshi ya lema yanaibua hisia za kutafuta freedom. Nape ameonewa kushindanishwa na lema , labda Nape angetafutiwa mtu kama shibuda labda wangeendana lakini lema ni jembe tena sana
 
Kitendo cha kuridhia Lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya DW tayari ni tatizo. CHADEMA wangempeleka Lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama Nape.

Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Nape anaumakini gani?kichwa kimoja cha mbunge wa cdm ni magamba 50 kwa hiyo lema alitosha na kuzidi
 
Kitendo cha kuridhia Lema awawakilishe kwenye media kubwa kama ya DW tayari ni tatizo. CHADEMA wangempeleka Lissu kwasababu angalau anaonekana kuwa na hoja ya kuweza kupambana na mtu makini kama Nape.

Lema kitakachokuwa kinaongea ni majani tu.

Umesikiliza lakini au unaongea ya kuambiwa kutoka Lumumba! Kwa taarifa yako Nape hawezi kupambana na Lema kwa hoja zinazowagusa watanzania! Nenda katafute clip usikilize kama hutaishia hukohuko usirudi tena hapa jamvini. Chadema ni makini kila mahali wanatuma mtu yeyote kujibishana na mtu yeyote wa magamba! Kwa taarifa yako usije ukalogwa kiongozi wa magamba yoyote akaomba mdaharo na Lema bora uombe mdaharo na Mbowe au Dr. Slaa kuliko Lema atakufuta kwenye ramani ya wanasiasa nchini! Kama hujui Lema ndiyo mwiba wa magamba kamuulize hata mwenyekiti wako. Lema hawezi kubadilishwa kwa pesa kwa kitisho cha kufungwa jera wala kuuawa! Chadema bila Lema siyo chadema ya kweli!
 
Back
Top Bottom