USA kuna waziri mkuu?

USA kuna waziri mkuu?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,485
Wajuzi naomba kujuzwa sijawahi kusikia kama Marekani wana Waziri mkuu wala kusikia kama Russia wana Makamu wa Rais.Je na sisi TZ kuna ulazima wa kuwa na wote hao wawili niliowataja?kwa nini nafasi moja isiondoke mfano cheo cha waziri mkuu?
 
Ok kwa kifupi nchi masikini kama TZ ina lundo la viongozi na wote hao ni mzigo kwa MTZ hawa wakiwa madarakani na wakistaafu mzigo anaubeba Mtanzania.Mishahara kwa Rais Makamu na Waziri mkuu.Wakati nchi zenye uchumi mkubwa pengene hazina Rais Makamu na PM
 
Wajuzi naomba kujuzwa sijawahi kusikia kama Marekani wana Waziri mkuu wala kusikia kama Russia wana Makamu wa Rais.Je na sisi TZ kuna ulazima wa kuwa na wote hao wawili niliowataja?kwa nini nafasi moja isiondoke mfano cheo cha waziri mkuu?

Kwani Tanzania Kuna SENATE MAJORITY LEADER? SENATE MINORITY LEADER.... HOUSE SPEAKER; HOUSE MAJORITY LEADER; HOUSE MAJORITY WHIP; HOUSE REPUBLICAN CAUCUS; REP CONGRESSIONAL CAMPAIGN COMMITTEE - Hapo kwa Congress Speaker ni REPUBLICAN... Sasa kwa Democratic watakuwa na House Minority Leader; House Minority Whip; House Democratic Conference; House Democratic Policy Committee; National Democratic Congressional Committee

Umeona UONGOZI huo WOOOTE??? na WanaNGUVU haswa WanaTENGENEZA BAJETI wanaweza kuipinga BAJETI ya RAIS Wanaweza kumumpinga RAIS Wana NGUVU zaidi hata ya WAZIRI MKUU...

*** URUSI wao WANA WAZIRI MKUU --- Medvedev na PUTIN ni Rais na Unakumbuka MEDVEDEV alikuwa Raisi wakati PUTIN akiwa Waziri Mkuu Unajua URUSI wana PRESIDENTIAL TERMS...

Sasa SIJUI unaongelea nini Mwananchi... Jaribu kufikiria KIDOGO na KUFANYA UCHAMBUZI kabla ya KUANDIKA; MTANZANIA tujielimishe kabla ya kupayuka...

*** WAZIRI MKUU ni KIONGOZI wa BUNGE LETU LA KUTUNGA SHERIA... Ulitaka RAIS awe HUKO???
 
Uingereza hakuna Rais.

Lakini ina MALKIA na PRINCE na PRINCESS na Ina HOUSE OF COMMONS na PIA HOUSE OF LORDS Ni GHALI kuwatunza zaidi ya kuwa na RAIS...

Umesika MPAKA baadhi ya Safari za Queen anajilipia kwasababu inawagharibu TAXPAYERS a lot...
 
Zanzibar ni nchi na haina Waziri mkuu, huko Marekani kote unaangaika kutafuta nini?

Zanzibar sasa hivi Waziri Kiongozi ni Makamu wa PILI wa RAIS... ambayo anaongoza BUNGE hadi LEO...
Sasa wamebadilisha JINA ili tu CHEO cha MAALIM SEIF kisiwe cha kipekee Makamu wa RAIS pekee... wakaamua kuondoa Waziri kiongozi kuweka Makamu wa PILI wa RAIS... NCHI GANI wana Makamu wa Rais WAWILI???

na ni kisiwa kidogo chenye watu laki 4 tuuuu na biashara yake ni UTALII
 
Lakini ina MALKIA na PRINCE na PRINCESS na Ina HOUSE OF COMMONS na PIA HOUSE OF LORDS Ni GHALI kuwatunza zaidi ya kuwa na RAIS...

Umesika MPAKA baadhi ya Safari za Queen anajilipia kwasababu inawagharibu TAXPAYERS a lot...
Hivi ni vyeo vya kichawi tu! Hivi kwa nini familia moja tu ndiyo iwe na haki ya kuwatawala wengine? Ukiuliza wanasema wana demokrasia kwa kuwa mkuu wa serikali anachaguliwa na wananchi, huku mkuu wa nchi (Malkia/Mfalme) likiwa ni jambo la urithi ndani ya ukoo mmoja?
​
 
Ujerumani kuna Rais ambaye hata hajulikani, ila yupo.
 
Kwanini tuige ya USA? Sisi hatuwezi kuwa na aina ya serikali ambayo ni creation yetu wenyewe mpaka tuige kwa wengine? =
 
Hivi ni vyeo vya kichawi tu! Hivi kwa nini familia moja tu ndiyo iwe na haki ya kuwatawala wengine? Ukiuliza wanasema wana demokrasia kwa kuwa mkuu wa serikali anachaguliwa na wananchi, huku mkuu wa nchi (Malkia/Mfalme) likiwa ni jambo la urithi ndani ya ukoo mmoja?
​

Umeona eh... Bado kuna watu Wanamtukana NYERERE kabla na BAADA ya UHURU tulikuwa na WATEMI na MANGI zaidi ya 80 nchi nzima na Waingereza walikuwa wanawapa kipaumbele... Mangi alikuwa na uwezo wa kulipia wanafunzi hadi kwenda kusoma UINGEREZA...

Sasa kama NYERERE asingeondoa hayo NDIO HIVYO VYEO HIVYO SIO VYA KICHAWI NDUGU yangu ni VYA KIMILA na KIJADI wewe unaita vya KICHAWI??? POLE SANA... Soma HISTORIA ya TANGANYIKA... na Umshukuru NYERERE kuondoa hayo.... Yeah Watemi na Mangi Utawala ni wa KURITHI... Ina Maana hawafundishi tena Tanzania hayo???

WOW POLE SANA..
.
 
Kwani Tanzania Kuna SENATE MAJORITY LEADER? SENATE MINORITY LEADER.... HOUSE SPEAKER; HOUSE MAJORITY LEADER; HOUSE MAJORITY WHIP; HOUSE REPUBLICAN CAUCUS; REP CONGRESSIONAL CAMPAIGN COMMITTEE - Hapo kwa Congress Speaker ni REPUBLICAN... Sasa kwa Democratic watakuwa na House Minority Leader; House Minority Whip; House Democratic Conference; House Democratic Policy Committee; National Democratic Congressional Committee

Umeona UONGOZI huo WOOOTE??? na WanaNGUVU haswa WanaTENGENEZA BAJETI wanaweza kuipinga BAJETI ya RAIS Wanaweza kumumpinga RAIS Wana NGUVU zaidi hata ya WAZIRI MKUU...

*** URUSI wao WANA WAZIRI MKUU --- Medvedev na PUTIN ni Rais na Unakumbuka MEDVEDEV alikuwa Raisi wakati PUTIN akiwa Waziri Mkuu Unajua URUSI wana PRESIDENTIAL TERMS...

Sasa SIJUI unaongelea nini Mwananchi... Jaribu kufikiria KIDOGO na KUFANYA UCHAMBUZI kabla ya KUANDIKA; MTANZANIA tujielimishe kabla ya kupayuka...

*** WAZIRI MKUU ni KIONGOZI wa BUNGE LETU LA KUTUNGA SHERIA... Ulitaka RAIS awe HUKO???

Tanzania tunao kwa mfumo wetu, Chama kinachoongoza dola kina bunge na upinzani una kiongozi wao anayetambuliwa na ana ofisi ndani ya bunge.
 
Yeah NI Mmoja Mmoja kila upanda.... lakini USA hao wote niliowataja wana OFISI na MAFUNGU ya FEDHA sababu ya VYEO VYAO
 
Wajuzi naomba kujuzwa sijawahi kusikia kama Marekani wana Waziri mkuu wala kusikia kama Russia wana Makamu wa Rais.Je na sisi TZ kuna ulazima wa kuwa na wote hao wawili niliowataja?kwa nini nafasi moja isiondoke mfano cheo cha waziri mkuu?

Cheo cha waziri Mkuu Marekani ni cha Secretary of State. Yeye ni head of all secretaries. Na ndiye mwakilishi wa rais kimataifa. Ndio utaratibu wao.

cc chama, Matola, Santo, nngu007, Kimbunga,
 
Umeona eh... Bado kuna watu Wanamtukana NYERERE kabla na BAADA ya UHURU tulikuwa na WATEMI na MANGI zaidi ya 80 nchi nzima na Waingereza walikuwa wanawapa kipaumbele... Mangi alikuwa na uwezo wa kulipia wanafunzi hadi kwenda kusoma UINGEREZA...

Sasa kama NYERERE asingeondoa hayo NDIO HIVYO VYEO HIVYO SIO VYA KICHAWI NDUGU yangu ni VYA KIMILA na KIJADI wewe unaita vya KICHAWI??? POLE SANA... Soma HISTORIA ya TANGANYIKA... na Umshukuru NYERERE kuondoa hayo.... Yeah Watemi na Mangi Utawala ni wa KURITHI... Ina Maana hawafundishi tena Tanzania hayo???

WOW POLE SANA..
.

Mkuu tena ukisema watemi ndio basi tena; kwetu watemi ndio walikuwa vinara wa wachawi!
 
Back
Top Bottom