sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
CCM wanafanya mkutano hapa Temeke mwisho Uwanja ule ule ambao CHADEMA walifanya mkutano last week.
Msemaji mmoja anadai CHADEMA wameshindwa kufanya mkutano Ubungo au Kawe kwa kuwa wangepigwa mawe kisa hakuna walichokifanya majimbo ya huko.
Mgeni wa heshima ni Nape, Naona kuna waziri Maghembe hapa na wabunge wa CCM wa mkoa wa Dar.