Katika habari za saa za kituo cha ITV mwenyekiti wa CHADEMA ametangaza uamuzi huo.
kwa mapendekezo yangu hii ni hatua nzuri itasidia sana kuepuka na hizi habari za masalia na mamluki wengine...
THIS IQ WHERE RATED BASED ON SCHOLAR ACHIEVEMENT
1. Writings produced without aid of staff
2. Ability to speak with clarity, and several other psychological factors, which were scored using the...
habari wanaJF?
Kuna misemo mizuri sana inatumika sehemu zisizo sahihi na misemo hyo ni kama huo kwenye kichwa cha Uzi huu.
ccm ni chama kongwe hakina haki ya kutumia msemo kama huo while kimekaa...
Wakuu,
Natanguliza salamu za dhati toka sakafu ya moyo wangu nikiwatakia afya njema na maisha marefu ili wote kwa wingi wetu Mwenyezi Mungu atuafikishe tufiki 2015 ili tuweze kushuhudia uchaguzi...
The minister urged Tanzanians living in Britain to invest in the energy sector back home. "You may run your company from here. These days you don't have to physically be back."
Hiki ni kipande...
=====updates======
Tayari maandamano yamewasili eneo la mkutano, Viwanja vya Dkt. Slaa...haikuwa kazi rahisi kufika jukwaani...
Uzinduzi wa Kanda ya Nyanda za juu Kusini ulioambatana na...
HATIMAYE ujenzi wa kiwanda cha kusafisha gesi kabla ya kusafirishwa kwenda Dar es Salaam umeanza mkoani Mtwara.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi alisema jana kuwa ujenzi...
Ndugu wadau leo nimepita kuanzia ubungo mataa kwenda kimara nikakuta ile mifereji mikubwa ya maji imefunikwa na mkandarasi anayejenga hii barabara kwa kuweka mitaro ya chini kwa chini na ni midogo...
Radio hizi mbili zimefungiwa miezi sita, na Clouds FM kupigwa faini ya milion 7
KWA NEEMA FM Mwanza: Sababu ni kushabikia maswala ya uchinjaji Mwanza
Radio Iman FM Morogoro: Kushabikia watu...
Habari yako
Nimejitolea kukupa ushauri wa bure baada ya kuona unazidi kujipaka matope!!Inawezekana hujui unachokifanya kwa sababu ya ushamba wako wa kisiasa, ila watu waliobobea kwenye siasa...
Na NUKUU,
"Ndugu Wananchi;
Napenda kuwahakikishia kuwa sisi katika Serikali tumetoa kipaumbele cha juu sana kwa elimu na kwamba hakuna upungufu wa utashi kwa upande wangu na wenzangu wote...
Kwa hadhi ya kamati kuu ya chama chochote ni aibu kubwa sana na inayoashiria kushuka kwa nyuzi 90 Kupokea wanachama wapya tena waliofukuzwa kwa usaliti na mienendo mibaya wasio na hata hadhi ya...
Habari zilizoenea miongoni mwa wafanyakazi wa NECTA na wizara ya Elimu tangu jana jumatano zinasema wakati wowote kuanzia sasa Katibu Mtendaji wa baraza la Mitihani - Dr. JOYCE NDALICHAKO...
Kama kamanda umetoa kadi ngapi adi sasa unamchango gani kwa CDM unajivunia nini kua na gamba la CDM hayo ndio mambo ya msingi ya kuongela kuna upungufu gani kwenye msingi wako nini kifanyike...
Star TV. sasa wadau fuatilien mjadala Dsm yupo Mzee Mkinga na Danis Mwasalanga. Mwanza yupo Dotto Bulendu, David Mrisho, na mwingine mwandishi wa habari kutoka Shinyanga. Mjadala mzuri wote...
Pamoja na kuwa wenzetu wa chadema kutwa hawalali wako bize kutafuta habari zinazovuruga nchi yetu,mie niko hapa kuwashukuru maraisi wetu watatu walioleta maendeleo Tanzania.
1) Mh raisi Mwinyi...
Enzi za Mwinyi watu walisema serikali imeenda likizo. Kwa sasa mambo yanavyoenda TZ nahisi kuwa labda wakati wa Mkapa serikali ilitoka likizo ikaja kufanya kazi kwa miaka kumi bila kupumzika na...
TAHADHARI; NIMAKALA NDEFU KIDOGO,LAKINI NAOMBA USOMA HADI MWISHO
Umeme:
Ni janga la nchi kwa siku za nyuma, sasa na siku zijazo kwasababu hatujawekeza vya kutosha
na hakuna juhudi zinzofanyika...
Hatimayr serikali kupitia waziri mkuu pinda imekubaliana na lowasa na kukubali kuunda tume kuchunguza matokeo ya form four.
Tume itaanza kazi wiki ijayo na itahusisha wadau wote wa elimu ikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.