CHADEMA hakitapokea wanachama wapya wa vyama vingine

CHADEMA hakitapokea wanachama wapya wa vyama vingine

Panizo

Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
89
Reaction score
35
Katika habari za saa za kituo cha ITV mwenyekiti wa CHADEMA ametangaza uamuzi huo.
kwa mapendekezo yangu hii ni hatua nzuri itasidia sana kuepuka na hizi habari za masalia na mamluki wengine ndani ya chama.
 
Upande mmoja ndio: CHADEMA kupitia M4C wako mbioni kupata wanachama wengi vijana/wenye muono na wengi ambao si wanachama wa vyama vingine. zaidi ya Watanzania 12m ambao si wanachama CCM wanatosha kuingiza CHADEMA ikulu.

upande mwingine, mlango wa WanaCCM kwa vigezo maalum uwe wazi: mfano, kuwa mwanachama CHADEMA bila mdaraka kwa mda furani- zaidi baada ya uchaguzi.

CHADEMA imalisheni dafutari lenu la wana CHADEMA pure kueleke 2015.
 
Hao mamluki tutawabadilisha wawe wa ukweli badala ya mamluki kama kweli wana nia njema na Tanzania ya Leo
 
CHADEMA ni kama maji,lazima utayatumia tu
 
kwasasa yani muda mfupi na wa kati kuelekea 2015 naona ina mafanikio mazuri kwasababu kupokea wanachama afu hawana misingi ya CHADEMA kama wakina SHIBUDA ndo utakuwa mwanzo w kukivuruga chama
 
Hii ni hatua nzuri hasa kwa kipindi hiki, mtu aje kwenye chama kama mwananchi wa kawaida, badala ya kuja na mikadi ya ccm!
Katika habari za saa za kituo cha ITV mwenyekiti wa CHADEMA ametangaza uamuzi huo.
kwa mapendekezo yangu hii ni hatua nzuri itasidia sana kuepuka na hizi habari za masalia na mamluki wengine ndani ya chama.
 
Mbona mnajichanganya kuna uzi humu CHADEMA yakomba wanachama wapya 1000.
 
ungeandika;chadema haitapokea shibudas

Mwisho wake ni 2015. jinga sana huyu eti sasa katumwa kumfungulia kesi mhariri wa Tanzania daima yaniiiiii jamaaa ananiboa sana wakati kwenye jimbo lake wat wana panda pamba, mahindi na maharage kwenye shamba moja/tuta na usafiri ni shida sanaaaaaaa.....
 
inataka ufafanuzi zaidi yupi toka ccm hatapokelewa hasa wasaka vyeo na madaraka wasiruhusiwe. wanachama wa wengine waruhusiwe
Katika habari za saa za
kituo cha ITV mwenyekiti wa CHADEMA ametangaza uamuzi huo.
kwa mapendekezo yangu hii ni hatua nzuri itasidia sana kuepuka na hizi
habari za masalia na mamluki wengine ndani ya chama.
 
umesikia mkuu Ritz huo uamuzi umetangazwa leo ni kama ile stori ya kwenye kitabu cha dini ya Nuhu na safina kwa hiyo kuanzia hapo gharika likitokea basi aliyekuwa nje atabaki nje na aliyekuwa ndani atabaki ndani
 
Last edited by a moderator:
Umeandika kwa haraka hata kabla ya kuelewa habari yenyewe, kinachozungumzwa hapa ni baada ya mchakato wa uchaguzi kuanza, na hawa ni wale wanaoshindwa kwenye vyama vyao, hasa CCM kisha wanakimbilia CHADEMA kama option ya pili na kutaka kugombea ubunge udiwani na vyeo vingine, wana CCM wengine na wanavyama wengine wataendelea kupokelewa kama kawaida
 
Upande mmoja ndio: cdm kupitia m4c wako mbioni kupata wanachama wengi vijana/wenye muono na wengi ambao si wanachama wa vyama vingine. zaidi ya tzns 12m ambao si wanachama ccm wanatosha kuingiza cdm ikulu.

upande mwingine, mlango wa wanaccm kwa vigezo maalum uwe wazi: mfano, kuwa mwanachama cdm bila mdaraka kwa mda furani- zaidi baada ya uchaguzi.

cdm imalisheni dafutari lenu la wana cdm pure kueleke 2015.

Hapo kwenye GREEN: I support you. Waspewe vyeo hadi baada ya uchaguzi.
 
Safi sana. Wazo zuri..duh CHADEMA bwana, wana mikakati na ni wabunifu!
 
Kimetumika kipengele gani cha katika mwenyekiti kukataa wanachama wapya?

Hivi vyama vinavyoendeshwa kama kampuni binafsi vina matatizo sana!!!
 
MWENYEKITI AMEKURUPUKA KATIKA HILI..
  • Je katiba ya chama inazungumzia nin kuhusu kujiunga CHADEMA?
  • kwanini chama kilikuja na mchakato wa VUA GAMBA VAA GWANDA, tena uliotumia pesa nyingi tu kunadi sela za chama nchi nzima ili kuwakomboa wana CCM kutoka ufisadini?
  • Je ana uhakika gani kuwa kila mtu atakayeamia ni mamluki,mbona kuna watu walihamia kutoka CCM na sasa ndo central figure za CHADEMA i.e. Dr Slaa
  • Je kama CHADEMA ipo kwa ajili ya ukombozi wa watanzania wote, hao wana CCM sio watanzania??
  • JE chama kimeshindwa kuweka misingi imara ya uongozi na wanachama kiasi cha kuyumbishwa na mamluki?anataka kusema katiba na irani za CHADEMA ni dhaifu kiasi icho?
  • Je ni lazima kila atayehamia awe katika uongozi?au kuingia katika vikao vya juu vya chama kiasi cha kuvuluga utaratibu.
Nikiwa kama mwanachama mtiifu wa CHADEMA naomba majibu...kwani wapiganaji wengi tu wa CHADEMA wametoka CCM akiwemo Kamanda mawazo,Dr slaa, na wengine wengi tuu...KAMA MWENYEKITI HAJAKURUPUKA THEN ATOE SABABU ZAIDI YA KUOGOPA MAMLUKI......PEEEEEOPLESSSSSSSSS
 
Back
Top Bottom