Aibu kubwa NEC-CCM Kupokea Sisimizi: Mdee

chitambikwa

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
3,941
Reaction score
903
Kwa hadhi ya kamati kuu ya chama chochote ni aibu kubwa sana na inayoashiria kushuka kwa nyuzi 90 Kupokea wanachama wapya tena waliofukuzwa kwa usaliti na mienendo mibaya wasio na hata hadhi ya kupewa uenyekiti wa kitongoji kwa sababu ya utendaji wao.

Kitendo cha Nec -CCM kuwapokea hao sisimizi ( ) na tena mwishoni mwa kikao chao , kuwalipia hela nyingi ili wazunguke ya kuwa ni hazina kubwa kisiasa, kinaashiria hari mbaya kisiasa inayosindikiza kifo cha ccm.

'NEC lazima ipokee watu wa hadhi ya NEC, siyo hadhi ya tawi. Hapo wamepokea sisimizi siyo kwa wingi bali ukubwa, na kama uwezo wa NEC ya ccm ipo hivyo basi ..........................' Alisema Mdee Jmosi alipokuwa anahojiwa na kituo cha Redio moja
 
mkuu hii habari wewe mwenyewe unaielewa lakini?embu rudia kuisoma
 
Kumbe CHADEMA wanafukuza Sisimizi na Siafu wanaachwa? hizi siasa za kibongo bwana.
 
Nimeweka maneno kama alivyo yasema

Wewe kwa kauli hii kuwa CDM kuna sisimizi umejifunza nini ? tuamini madai ya kila siku dhidi yao kuwa CDM ni chama cha kidikteta na maana hiyo kuna sisimi na mchwa?
 
Kwa hadhi ya kamati kuu ya chama chochote ni aibu kubwa sana na inayoashiria kushuka kwa nyuzi 90 Kupokea wanachama wapya tena waliofukuzwa kwa usaliti na mienendo mibaya wasio na hata hadhi ya kupewa uenyekiti wa kitongoji kwa sababu ya utendaji wao.

Kitendo cha Nec -CCM kuwapokea hao sisimizi ( ) na tena mwishoni mwa kikao chao , kuwalipia hela nyingi ili wazunguke ya kuwa ni hazina kubwa kisiasa, kinaashiria hari mbaya kisiasa inayosindikiza kifo cha ccm.

'NEC lazima ipokee watu wa hadhi ya NEC, siyo hadhi ya tawi. Hapo wamepokea sisimizi siyo kwa wingi bali ukubwa, na kama uwezo wa NEC ya ccm ipo hivyo basi ..........................' Alisema Mdee Jmosi alipokuwa anahojiwa na kituo cha Redio moja

kwa iyo cdm hawafukuz tembo (zzk)? wanaofukuzwa n ccmiz tu
 
Mbona tunapenda siasa nyepesi nyepesi sana, hivi CCM wataanguka kwa sababu tu eti wamewapokea wanachama kutoka CDM?

naona lumumba wameongeza nafasi za ajira!
Hongera mkuu kwa kupata ajira ila uwe tayari kujiondoa ufahamu wako wakati wa kuchangia!
 
Halima mdee sasa umefikia wakati uingie kwny ndoa siasa zinakupoteza
 
Kwa hadhi ya kamati kuu ya chama chochote ni aibu kubwa sana na inayoashiria kushuka kwa nyuzi 90 Kupokea wanachama wapya tena waliofukuzwa kwa usaliti na mienendo mibaya wasio na hata hadhi ya kupewa uenyekiti wa kitongoji kwa sababu ya utendaji wao.

Kitendo cha Nec -CCM kuwapokea hao sisimizi ( ) na tena mwishoni mwa kikao chao , kuwalipia hela nyingi ili wazunguke ya kuwa ni hazina kubwa kisiasa, kinaashiria hari mbaya kisiasa inayosindikiza kifo cha ccm.

'NEC lazima ipokee watu wa hadhi ya NEC, siyo hadhi ya tawi. Hapo wamepokea sisimizi siyo kwa wingi bali ukubwa, na kama uwezo wa NEC ya ccm ipo hivyo basi ..........................' Alisema Mdee Jmosi alipokuwa anahojiwa na kituo cha Redio moja

Yeye Halima hayo ya CCM kupokea sisimizi vinamhusu nini? Virusi vimekuwa scanned vimetoka tumshukuru Mungu. Kwamba NEC imempokea au CC sisi haituhusu hata kidogo. Kikubwa ni kwamba tumefukuza wahuni
 
Back
Top Bottom