The minister urged Tanzanians living in Britain to invest in the energy sector back home. "You may run your company from here. These days you don't have to physically be back."
Hiki ni kipande kidogo tu cha hadithi za huyo professor, anaongea mambo ambayo kila mtu anajua bila umeme hakuna maendeleo, sasa kama yeye yuko serikalini anafanya nini kuondoa hili tatizo au amebaki kuleta literature zake.
Unaomba watanzania waliokuwa Britian wawekeze kwenye sector ya nishati, hali kabisa anajua kuna bureaucracy na kama wewe huna links na siasa za Tanzania ujue kabisa hutafika na utaletewa mizengwe ya ajabu ajabu. Kuna watanzania wengi wenye fedha walizoiba wameweka nje, hawa ndiyo wangewekeza ndani ya nchi siyo hii population ndogo ya diaspora wanaofanya kazi kwa bidii huko waje wakutane na serikali inayoendeshwa kisiasa.
Serikali ina hela za kuwekeza kwenye sector ya nishati ila hakuna management bali ni ufisadi tu na hawako business oriented wao ni kutumia bila kujali wanaingiza nini, basi wawezeshe wafanyabiashara wafanye hivyo na Tanesco isingiliwe na serikali katika utendaji. Mifano mingi ya wafanyabiashara successfully Tanzania kama Bakhressa wakipewa fursa ya kuwekeza kwenye nishati tutaona mabadiliko makubwa.