Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naandika ukurasa huu nikiwa kwenye mkutano wa CHADEMA, na wakati huu Mh Mbowe ndiye anaongea. Naomba nikili kuwa mimi ni mpenzi wa CHADEMA lakini kwa uhakika Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti wa chama...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
BAADA ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuondoa hoja binafsi ya Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), kuhusu hatua za haraka za kuboresha upatikanaji wa maji safi na ushughulikiaji wa maji...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
PressTV - UK, Scotland sign deal to hold referendum on Scottish independence UK, Scotland sign deal to hold referendum on Scottish independence An agreement has been sealed by British Prime...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) Bw. Akashambatwa Mbikusita-Lewanika, hatimaye ameachia ngazi baada ya kuendesha kampeni kali ya miezi kadhaa kutaka aendelee...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Katika nchi ya Ghana asilimia kumi ya mapato ya serikali yanatoka kwenye kampuni za simu,Ghana ina watu milioni 25 na wateja wa simu milioni 17 tu wakati Tanzania ina watu takriban milioni 45...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana-jf (Great THinkers) na wananchi wote wa tanzania. Napendekeza suala zima la umeme na tanesco viingizwe kwenye katiba mpya iatakayotoka kabla ya uchaguzi wa 2015 vikielezwa wazi...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Nape alifanya mkutano na wananchi wa Goba (Dar es salaam) tarehe 17/2/2013. Mimi sikuwepo katika mkutano huo lakini nimesikiliza sehemu ya hotuba yake kupitia kipindi cha Chombo Kazini cha Redio...
23 Reactions
121 Replies
11K Views
Mwenyekiti wangu MBOWE nakusalimu kwa salamu yatu ya chama PEOPLESSSSSSS............ Kwanza kabisa nikupongeze kwa kazi nzuri unayoifanya kwa kutuongoza vizuri katika ujenzi wa chama chetu kitu...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Waomba hukumu ya Mahakama ya Rufaa ipitiwe upya Makada watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliopinga ubunge wa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema na kufanikiwa kumvua ubunge kabla...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Kamanda wa anga na mwenyekiti wa CHADEMA Taifa mheshimiwa Freeman Alkael Mbowe, muda mfupi kuanzia hivi sasa atahutubia mkutano mkubwa katika viwanja vya Dr slaa(mama John) jijini Mbeya...
1 Reactions
60 Replies
7K Views
Imeandikwa na EDMUND MIHALE, Dar es salaam | Jumanne, Februari 26, 2013 Raia wa Uswisi, Dk. George Hess, anatuhumiwa kujimilikisha na kuuza ardhi ya ufukwe wa Amboni uliopo Wilaya ya Muheza...
2 Reactions
57 Replies
8K Views
Ndivyo wanavyosema wachambuzi wanaolinganisha maendeleo ya taasisi za kiuchumi na kisiasa katika nchi mbali mbali. Wanasisitiza kuwa kuwa tatizo la jamii zetu ni kuwa zinaendekeza sana kusaidiana...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Tangu tumehama kutoka kwenye mfumo wa analojia na kuingia kwenye mfumo wa digitali japo matangazo yameboreka lakini imekuwa jambo la kawaida kukatika ghafla kwa matangazo au kubadilika kwa baadhi...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Kipindi cha nyuma hatujawahi sana kusikia kwa kishindo na waziwazi kuwa Wizara au TPA imekataa ushushaji / uingizaji wa mafuta machafu na hata vigogo wahusika kuchukuliwa hatua. Lakini mafuta...
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Pesa kwa ajili yakununulia maji yakunawa kipindi cha maandamano kama mabomu yatapigwa lakin kwa ajili ya kutibu wahanga wa maandamano kwa ajili aya kung'oa waziri wa elimu pamoja na naibu...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
..according to Maalim Seif, bila ZanID huwezi kufungua biashara, kupata leseni ya udereva, kusafiri, kupata nafasi ya masomo, etc etc. ..tayari serikali ya muungano imetoa vitambulisho vya uraia...
8 Reactions
112 Replies
9K Views
Surely humu kutakuwa na wasomi kuliko DARHOTWIRE na forums zingine...hivi kwa nini tumekuwa tukilignore hili au ndio tumejikita kwenye mambo ya anti intellectualism,plitics of hate & narrow...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
WAKATI baadhi ya wanasiasa wakiwa wameanza kujiwinda kwa ajili ya kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Shirika la Utafiti la Synovate limetoa matokeo ya utafiti wake ambao unaonyesha vigogo...
0 Reactions
158 Replies
12K Views
Katika kuhakikisha jimbo la BUSANDA,vijiji na vitongoji vinakukwenda kwa CHADEMA, baraza la vijana CHADEMA jimbo la BUSANDA wametengeneza team ya watu 15 ambao kazi yao kuu itakuwa kuratibu na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Albino auawa, wawili wakatwa viungo Mwigulu Matonange (10) akiwa na baba yake Gimbishi. KWA UFUPI Katika matukio hayo, mtoto mwenye umri wa miezi saba alinusurika kuuawa baada ya watu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom