Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amewataka wananchi wenye sifa za kuwa wajumbe wa mabaraza ya Katiba wilayani na ambao wangependa kuwa wajumbe wa mabaraza hayo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Closed
Habari za usiku wa JF, Nimekuwa maeneo ya GOBA kwa takribani wiki mbili sasa,katika majukumu yangu binafsini,kitu kilichonishangaza ni Muhadhara wa dini ya ki islam unaoendelea katika eneo...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amewaasa viongozi wa siasa kutowagawa wananchi katika makundi ya siasa badala yake washirikaine ili kuleta maendeleo ndani ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
  • Poll Poll
Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.
30 Reactions
907 Replies
122K Views
Viongozi wa jana wa Afrika ni sawa tu na wa leo. Ni wachache sana viongozi wa Afrika ambao hawaangukii katika mkondo huu. Ninaamini Afrika haiwezi kuendelea iwapo viongozi ni wale wale - wa jana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Zipo tetesi kuwa mgao wa umeme unaoendelea kisiwani Unguja kwa takribani miaka miwili sasa una maslahi kwa vigogo wa shirika. Kumekuwa na kigugumizi katika kubainisha kuwa kwa nini mgao huo bado...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kikwete ampongeza Uhuru Kenyatta: RAIS Jakaya Kikwete ambaye kwa sasa yuko Afrika Kusini kikazi, amemtumia salamu za pongezi Rais Mteule wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Kenyatta
0 Reactions
12 Replies
2K Views
IJUMAA, MACHI 08, 2013 NA ELIZABETH MJATTA, DAR ES SALAAM MWASISI wa TANU na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tabora, Mosi Tambwe (72), amefariki dunia jusi, baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wana JF, hii imekaaje? Na kama utatokea moto sehemu, mkutano utasimamishwa gari liende au ndio too late? Mkuu wa wilaya ya mbozi mkoani Mbeya ndg Michael Kadege, ndiye aliye endesha zoezi hilo...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
The Danish government will fund the construction of a large rain-fed lake which is to be dug at Nanja Village of Lepuruko Ward in Monduli District next year. Danish Prime Minister Ms Helle...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela alihaji Zuber Mbyana ameamua kutumia vibaya jina la chadema ili kuhalalisha kuwalipa asikari polisi aliowaita ilikumlinda yeye na madiwani wa CCM kutokana na hofu...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Mimi ni mwl. na napenda siasa,naomba kusaidiwa namna gani ambavyo naweza kushiriki katika siasa katika mambo yafuatayo; 1.je narusiwa kushiriki katika mikutano ya siasa baada ya masaa ya kazi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Katika miongo miwilli iliyopita tumeshuhudia kanisa katoliki likijipenyeza na kusambaa katika bara la Africa, Asia na Marekani. Kwa Upande wa pili wa shilingi; Kanisa katoliki limeendelea kudorora...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mji wa Bariadi makao makuu ya mkoa wa Simiyu naufananisha sana na baadhi ya nchi za Ulaya na Asia. watu wengi wanatumia usafiri wa BAISKELI kuliko magari na pikipiki. Wao wanasema kusafiri kwa...
1 Reactions
15 Replies
8K Views
Wadau binafsi ni muhitimu (SUA) Ninataka kuliongoza kundi la vijana tujikite kwenye kilimo cha alizeti pamoja na kusindika alizeti hiyo ili tuweze kuuza mafuta. Ninauliza kama baraza la uwezeshaji...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
TBC wameonesha kisehemu kidogo sana cha matangazo ya mshindi wa uraisi (wameonyesha sehemu ya kutangazwa tu) wa Kenya na kurudi kutuonyesha muziki. Au ndo aibu kwa kuwa yule bwana anayekumbuka...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Asubuhi moja nikiwa kwenye mchakamchaka ( jogging) nilimsikia mchungaji wa kanisa akiwatamkia waumini wake; " Angalieni upepo, nguvu ya upepo. Duniani upepo unaweza kutingisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
CHADEMA Kata Ya Segerea Inakukaribisha Katika Mkutano Mkubwa Wa Hadhara Utakaofanyika Katika Viwanja Vya Shule Ya Msingi Ya Liwiti,trh 10/03/13 Kuanzia Saa 9 Alasiri,mgeni Rasmi Atakuwa Mbunge Wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MBUNGE wa Ukerewe, Salvatory Machemli (CHADEMA) amefikishwa mahakamani akikabiliwa na mashitaka ya uchochezi. Machemli (39) amesomewa mashitaka hayo jana mbele ya hakimu mkazi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Leo nikiwa kazini (ya kujiajili) alikuja rafiki yangu mmoja kuntembelea huyu jamaa yupo NEC ya ccm.
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom