Mji wa Bariadi makao makuu ya mkoa wa Simiyu naufananisha sana na baadhi ya nchi za Ulaya na Asia. watu wengi wanatumia usafiri wa BAISKELI kuliko magari na pikipiki. Wao wanasema kusafiri kwa baiskeli ni gharama nafuu kuliko vyombo vya kisasa vya anasa!. Sasa najiuliza, huo ni umasikini au ni maendelo?