Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimesoma katika gazeti la Tanzania Daima asubuhi ya leo, Waziri wa mambo ya ndani Dk Emanuel Nchimbi amenukuliwa akisema sakata la kuvamiwa na kuumizwa vibaya kwa Kibanda hilo ni suala la ngazi za...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Salaam wana jamii, Nachukua nafasi hii kumpongeza katibu wa BMT kwa utendaji wake katika kuongoza taasisi hii nyeti kwa jinsi alivyoweza kuandaa mikakati ya kuthibiti undanganyifu uliozoeleka...
11 Reactions
47 Replies
5K Views
Wana bodi salamu, Kweli inasikitisha kuona uelekeo na mahali ambapo taifa letu linaelekea; - Mauaji ya kinyama na mateso kwa haswa wanaokosoa maovu na dhuluma katika...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
MWENYEKITI wa CHADEMA taifa, Freeman Aikael Mbowe leo anatarajiwa kuunguruma katika viwanja vya Mukendo mjini Musoma. Wengi wanatajwa kuvua magamba na kuvaa magwanda!.
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Hizi ni baadhi ya picha za Sherehe ya mapokezi ya Prof. Anna Tibaijuka akipongezwa kuwa Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM (TAIFA) NEC.
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Jinsi Wakenya wanavyopiga kura kuwapata wabunge wanawake wa viti maalum tunapaswa kuiga kwa kweli ingeondoa hizi sex scandals za wabunge wetu wa viti maalum wangekuwa na uhalali wa kweli wa kuwa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Former President of Ghana, John Agyekum Kufuor, has asked African leaders to give more space for the youth in political and social discourse to enable them to fully exploit their potentials for...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Jubilee imetangazwa mshindi wa uchaguzi Kenya...Raila na CORD yake wamekataa matokeo na wanataka kwenda mahakamani. Jumuiya ya kimataifa ikiwemo USA na Afrika ya Kusini haionyeshi dalili za...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Taarifa kutoka South Africa, kupitia Jukwaa la Wahariri Tanzania 1. Kibanda leo ameingizwa theater ili kuanza kufanyiwa upasuaji na kujengwa sura baada ya kupungua kwa majeraha na...
7 Reactions
170 Replies
15K Views
Ndugu zangu, kwa muda mrefu, takribani tangu uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 upite hadi sasa tukiwa tunaeleka mwaka 2015 ambako tutakuwa na uchanguzi mkuu mwingine, kuna kitu nimekiona. CCM kwa ufupi...
9 Reactions
12 Replies
2K Views
ningekuwa na mwenyeji arusha
1 Reactions
71 Replies
7K Views
Willium Ruto is my role model na ni changamoto kwa vijana hasa wa upinzani waliotoka familia masikini. Alikuwa anauza mahindi ya kuchoma barabarani ili apate fedha ya kulipa ada. Ndio maana jana...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Amani kwenu wana JAMII FORUM Baada ya kutafakari mambo mbalimbali yanaendelea katika nchi yetu nimeona nitumie nafasi hii tujadili kuhusu nchi yetu inazingatia utawala bora? Kabla ya kuuacha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nasikitishwa sana na matukio yanayoendelea nchini ambayo ni viashiria(indicators) vya upotevu wa amani,amani ambayo iliasisiwa na viongozi wetu waliopita kwa gharama kubwa sana viashiria hivi ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huku waheshimiwa wabunge wakiwa wanalipwa sio chini ya 6,000,000/- kwa mwezi na kukiwa na habari za ongezeko la fedha hiyo mpaka 10,000,000/-, madereva wanaowaendesha waheshimiwa hawa wamelalamika...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hii mahakama ilidizainiwa mahsusi kwaajili ya kuwakandamiza waafrika hasa wale wanaokuwa hawatekelezi yale wanayoambiwa na hawa mabepari katika kulinda interst zao. Huko China kuna...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Katika makala yake ya Maswali Magumu ndani gazeti la Tanzania Daima Jumapili, la tar 21 Desemba 2010 yenye kichwa 'Kikwete kachaguliwa kwa udini au siasa?'; Ansbert Ngurumo aliandika mengi...
15 Reactions
53 Replies
5K Views
SASA kuna dalili zinazoonyesha kuwa utekelezaji wa mpango wa kumteka na kumtesa kinyama Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, Absalom Kibanda, ulifanywa na watu waliopata...
4 Reactions
124 Replies
14K Views
Siyo siri kuna haja ya kuelimisha umma kwa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015 na hata katika chaguzi ndogo zinazoendelea kwamba mfumo wa tawala zilizopo ni lazima zibadilike ndipo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom