Uchaguzi wa Kenya umeisha na Uhuru Kenyata huenda akawa raisi mpya Kenya. Hii ni tofauti kabisa na fikra na tabiri kabla ya uchaguzi. Binafsi nikimpa chapuo Raila. Pamoja na rough za hapa na pale...
Alikua ni dokta,injinia,askari,muumini,mwanafalsafa, mwanasiasa,mwanausalama,mwanamichezo na mwanaharakati nk.
Wakati wa utawala wake tuliona nchi zikikombolewa toka wakoloni kulikuwa na makambi...
Watanzania tusikubali kufanywa wajinga. Haingii akilini kwa viongozi wa serikali kuonyesha moyo wa upendo kwa kutembelea wahanga wa vitendo vya "kimafya" kama mwenyekiti wa jukwaa la wahariri...
Hapa chuoni kwetu kuna Profesa amekaribia kustaafu anadai atakwenda kugombea ubunge jimbo la lushoto kwa NCCR-mageuzi.
cc.KISANDU
cc.Wagombea wa CHADEMA
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Pwani Bwana Said ukwezi ameongoza jopo la viongozi wa mkoa, wilaya na majimbo ya Pwani kuhutubia wanachama na wakazi wa CHALINZE waliojitokeza kwa wingi kusikiliza...
Nimefatilia sana uchaguzi wa Kenya, kati ya yote nimefurahishwa sana na uwazi wa tume (pamoja na mapungufu madogo madogo). Nimejionea aibu nilipolinganisha na chaguzi zetu (chini ya NEC)
Utadhani...
baada ya uhuru kenyata kushinda kijana mwenye mwenye umri usiozidi miaka 40 ambae asilimia kubwa ya vijana ndio waliomchagua napendekeza chadema wamfanye zitto mgombea wao 2015
kwa vigezo...
Wakuu tukiwa kama waajili wa hawa Viongozi ni shurti na haki yetu kujua malipo yao, hapa naongelea Mishahara yao, Posho zao, Marupurupu na Pension.
Tumejua ya wawakilishi wetu bungeni, na sasa ni...
Dual citizenship may be allowed by 2014, MPs told
Send to a friend
Friday, 22 July 2011 22:22
Foreign Affairs and International Cooperation minister Bernard Membe in Parliament...
Januari 17, 2013 | Mtanzania
BUNGE la Tanzania, limeanza kupitia upya ratiba ya mikutano yake ya kila mwaka kwa lengo la kuifanyia marekebisho ili iendane na mapendekezo yaliyotolewa na Mdhibiti...
Kuanzia leo naomba kujitolea kumshauri Kiongozi wa kambi ya Bungeni na Mweyekiti wa Taifa wa Chadema Bw, F. A. Mbowe. Na leo naomba nianze kwa kumshauri atembelee majimbo yanayoongozwa na...
KUUNDWA KWA TUME HIYO NIHASARA NYINGINE KWA TAIFA
- Tume nyingi zimeshaundwa hakuna jibu hata moja lilitolewa au kuona utekelezaji wake
mfano tume ya Richmond, Tume ya mabilioni yaliyoficha...
Najua mh uhuru kenyatta wewe umeshakuwa raisi sasa sisi nchi tulikokuwamo kwenye jumuia na majirani zako wa siku nyingi tanzania ni taifa la uchaguzi! Uchaguzi! Na uteuzi! Uteuzi! Tu kila siku...
Akihutubia mkutano wa chadema ITIGI mjini katika jimbo la Manyoni magharibi, Lissu alionyesha tofauti kati ya michango na kodi. Kwamba kodi ni lazima kwa kila Mtazania na kuwa kuna sheria ya...
Nimesikitishwa na yaliyomtokea Kibanda sana na mimi nimeona nitoe ushauri.....kwa Waandishi kwa ujumla waandishi wa habari na waandishi wengine (journalists and writers ) kwa ujumla..
Siasa za...
Speaker wa zamani bunge la EAC Abrahaman Kinana ametajwa kuwa kiongozi wa jopo la waangalizi wa uchaguzi ujao nchini Kenya kutoka nchi wanachama wa EAC.
My take:
Huyu jamaa anatajwa kuhusika...
Habari wakuu?
Wakati Raisi kikwete anaingia madarakani mwaka 2005 ilikuwa ni jambo la kawaida kuona wananchi wengi wanajipanga barabarani na kumpungia Raisi mikono na yeye kuwapungia hasa...
Ndugu watanzania wenzangu kwa muda mrefu nimefanya utafiti kuhusu uendeshaji wa halmashauri zetu hasa kupitia manispaa ya Tabora ambayo ina jumla ya kata ishirini na tano japo kutokana upeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.