Mpendwa Rais Mteule na Kaka, ilikuwa ni furaha kubwa kwangu kupokea taarifa ya ushindi wako wa kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya. Niruhusu, kwa niaba ya Serikali na Wananchi wa Tanzania, na kwa hakika, kwa niaba yangu binafsi kukupogenza kwa dhati ya moyo wangu kwa mafanikio haya makubwa ya kuchaguliwa kwako.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, IKULU
DAR ES SALAAM
.Kiingereza shida, Kiswahili mgogoro! hapo kwenye red - Ikulu watu wa Ikulu walikuwa wanawahi airport ama?
Kwenye blue - mmeanza kuitana kaka?
majambazi yanapongezana, jambazi mzururaji na jambazi jipya linaloingia kwenda kuiba tena ardhi ya wakenya