MZEE WA USSOKE
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 120
- 42
Habari za usiku wa JF,
Nimekuwa maeneo ya GOBA kwa takribani wiki mbili sasa,katika majukumu yangu binafsini,kitu kilichonishangaza ni Muhadhara wa dini ya ki islam unaoendelea katika eneo hili,kuna mambo machache yaliyonipa wakati mgumu sana kwa hatima ya nchi yetu,nitaeleza machache,
a] wanatumia muda mwingi sana kusema mambo ya upotoshaji kuhusu imani nyingine ya Kristo,na kuiponda kwa
nguvu kubwa sana kuwa siyo dini ya mwenyezi Mungu,kwa upande wangu imenipa shida sana kuona hawa ndugu
zetu badala ya kutumia muda huo kuwafundisha waumini wao mambo yanayowahusu wao,lakini wanadiliki kusema
WAKRISTO HAWANA AKILI,kama Taifa tunaelekea wapi?
na je,Serikali ilipiga marufuku mihadhara sasa kwanini vyombo vya usalama vipo na haiwachukulii hatua
b] muda huu ninao ongea muhadhara unaendelea,na wanaendelea kueneza chuki kati ya Ukristo na Uislam,kwani
leo mtu kuwa Mkristo katika nchi hii ni kosa?,mpaka hawa BAADHI ya Waislamu wanatukana dini ya mtu mwingine
na wanafanya hivi kama vile Serikali haipo
Katika misingi ya katiba yetu ukurasa wa 17 kuna misingi minne,nayo ni; UHURU,HAKI,UDUGU,
NA AMANI
Lakini katika Ibara ya 19[1]kila mtu anastahili kuwa na uhuru wa mawazo,imani na uchaguzi katika mambo ya dini
pamoja na uhuru wa mtu kubadilisha dini au imani yake
[2] Inasema kazi ya kutangaza dini,kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la hiari la mtu
binafsi,na shughuli na uendeshaji wa jumuiya za dini zitakuwa nje ya shughuli za mamalaka ya nchi
Sasa kama katiba iko wazi hivi kwanini wahuni wachache wanaa chwa wakitamba na kueneza chuki za kiimani?
c] Jambo jingine lililo nikera zaidi walipoingiza masuala ya siasa na kuanza kumponda Dr SLAA,kuwa aliacha ubunge
aliokuwa akilipwa millioni 17,akagombea Uraisi na alipokosa akawapa masharti CHADEMA alipwe kama alivyokuwa
akilipwa bungeni.
Hoja yangu hapa siyo Dr .kulipwa au kutolipwa,suala hapa wao wanahubiri dini yao,mambo ya wanasiasa
yanaingiaje? kibaya zaidi wanawaita Chadema hawana akili,na kuwaambia wafuasi wao waachane chama cha
hovyo.
Angalizo kwa watanzania,Mungu ametupa Amani hii siyo kwamba sisi ni wema kuliko wasomali,wakongo.Mali nk bali ni kwa neema tu ya Mungu mwenyewe,na nimaombi yangu tusifike huko ambako hawa ndugu zetu wanataka kutupeleka
Kama mtu anataka siasa afanye siasa,kuliko kutumia majukwaa ya dini halafu unaponda chama au dini ya mtu mwingine
kibaya zaidi dharau hii inafanywa kipindi tunachoshuhudia viongozi wa makanisa wanauwawa.
WATU WA USALAMA WAFUATILIENI WATU HAWA,WAPO HAPA GOBA MWISHO,
Naomba kuwasilisha na usiku mwema