WAZIRI wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe, amelaumiwa na uongozi wa KanisaKatoliki Jimbo la Iringa kwa kushindwa kuingilia kati mgogoro wa maji uliopokati ya mwekezaji wa mashamba ya mpunga Mbarali...
Ndg wanajf,
Mkurugenzi wa idara ya habari maelezo ameongea na wanahabari na kudai kuwa kuna wanacdm watano wamefikishwa mahakamani kutokana na kumtumia sms na jumbe za matusi spika na Ndugai...
Imeniuma sana kusikia kiongozi mkuu wa Tume ya Uchaguzi Kenya anatangaza kwa umma kwamba matokeo ya uchaguzi wa Kenya yameshawekwa katika mtandao wa Tume. Najiuliza hadi lini matokeo ya uchaguzi...
Ni wazi kuwa hakuna jinsi nyingine isipokuwa kwenda kwenye uchaguzi mdogo ili wanachi wa sumbawanga mjini waweze kupata mwakilisshi bungeni kwa kipindi kilichobaki kabnla ya 2015.ni wazi zaidi...
Kwa taarifa rasmi niliyoipata kutoka kwa Mbunge wa Musoma mjini Mh. Vincent Nyerere, inasema kuwa Mh. Mbowe na wabunge wengine walioambatana nae watawasili leo hii.Mh. Mbowe ataitembelea Tarime...
Wanabodi,
Kwanza nitoe pole na hongera kwa wale washabiki wa siasa ambao wanaendelea kufuatilia yanayojili Kenya.
Hakuna atakayepinga nikisema CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani. Kimekuwa...
CHAMA CHA MAPINDUZI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Chama Cha Mapinduzi kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa ya kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri...
Wanajamvi,
Nahisi mimi siko Tanzania hii kiakili. Naomba kujuzwa utaratibu wa kutoa maoni ya katiba mpya!
Si kwamba nimechanganyikiwa ila jana usiku muda wa kati ya saa mbili na saa tatu...
Kwa takribani miaka thelathini sasa nchi yetu imekuwa katika upungufu mkubwa sana wa wanasiasa, Nchi yetu imeichukulia siasa kama sehemu ya mtu yeyote aliyepoteza mwelekeo kuwa au chimbo la...
Katika hali isiyo ya kawaida ukiangalia trend za watawala zimekuwa zikijirudia. Kwa mfano, Rais wa Kwanza wa Zanzibar mtoto wake tayari naye alishakuwa Rais na wengine mabalozi, Mwinyi naye watoto...
Habari wana jf wenzangu hebu tulitazame hili la alliances nchini kenya ukwel ni kwamba pamoja na faida zake zote ktk siasa na demokrasia hz alliance zinaua vyama vya siasa sasa hatutakuwa tena na...
Prof. Kwanza ni ungane na wengine kukupongeza kwa mafanikio yako lakini kwangu mimi mafanikio ni pamoja na kuweza kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Ardhi pale Block 22, Kibada ambao umesabishwa na...
HABARI
Kituo cha kimataifa cha mikutano AICC kilichopo jijini Arusha
Na Fidelis Butahe, Mwananchi
Posted Ijumaa,Marchi8 2013 saa 23:50 PM
KWA UFUPI
Wabunge hao ni Faith Mtambo na...
Msingi mkubwa wa sisi watanzania kuwa walalamikaji ni sheria na katiba tulionayo ambayo inatoa mwanya mkubwa kwa viongozi(watawala) kufanya mambo wanavyotaka bila kubanwa na sheria yoyote ya nchi...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Mashariki inayohusisha mikoa ya kichama ya Ilala, Temeke Kinondoni na Pwani imekosa mratibu wa kanda mwenye sifa zinazotakiwa.
Kwa mujibu wa...
Taarifa ya maendeleo ya afya ya Kibanda jioni hii....
Habari za jioni wakuu,
Muda umekwenda lakini nimeona ni vyema tukashirikishana taarifa fupi tulizopata kutoka Afrika Kusini anakotibiwa...
Nimeandika mara nyingi sana katika miaka hii karibu sana juu ya tatizo la Usalama wa Taifa na haja ya kufanyia mabadiliko makubwa muundo wa Jeshi la Polisi. Baadhi ya mapendekezo yamewahi...
Naomba nianze kuelezea mifano ya hizi propaganda katika makundi mawili:
1. Rais - Kila mmoja wetu anajua katika katiba yetu rais amepewa madaraka makubwa sana ya kimaamuzi na kiutendaji. Haiingii...
Kigwangalla aendelea kuwabana watumishi wa Halmashauri ya Nzega na kufukua uozo kwenye bajeti. Asisitiza hayuko tayari kurudi nyuma wala kukatishwa tamaa na watu wachache wanaotaka kugeuza...
Ndugu zanguni Wana-JF, nawapeni pole sana kwa majanga yanayowaandama wapenda haki wa nchi hii na wale wote wanaofanya bidii kuuweka uovu wa nchi hii wazi mbele ya wale wasiojua kinachoendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.