ilboru1995
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,329
- 269
Katika miongo miwilli iliyopita tumeshuhudia kanisa katoliki likijipenyeza na kusambaa katika bara la Africa, Asia na Marekani. Kwa Upande wa pili wa shilingi; Kanisa katoliki limeendelea kudorora na kukosa waumini katika bara la Ulaya...
Hakuna atakaebisha kuwa Kanisa Katoliki lina ushawishi mkubwa wa Kisiasa, Kiuchumi na Kijamii katika nchi nyingi duniani...
Vatikan imefanikiwa kuandaa programu za kimaendeleo kwa kuwezesha kanisa kuwa na Vyuo Vikuu vingi na bora kabisa Duniani, Kanisa limeweza Kukamata Maeneo yenye madini na kujimilikisha kwa manufaa ya Vatican, Kanisa limeweza kumiliki Hospitali Bora Duniani, Kanisa limeweza Kuwa na Hisa katika Makampuni makubwa kabisa Duniani...Kanisa Katoliki limefanikiwa kuwaweka madarakani washirika wake katika nchi nyingi hususan zile zinazoendelea...
Kuna uthibitisho kuwa Vatican inategemea zaidi Resources zinazotoka Africa katika uendeshaji wake. Kwakuwa imethibitika kuwa Africa ni Mshirika mkubwa wa kimaendeleo kwa Vatikan, na ukweli kuwa Hakujawahi kutokea Papa Mweusi Mwafrica, Mchina, Mjapan, Mphilipines, Mlatin, Mwarabu Toka Kanisa lianze shughuli zake. Nashauri Vatican this tym Vatican iongozwe na Papa Mweusi kutoka Africa. Africa tuna imani ya Kweli, Africa inatoa Madini mengi yenye kuendesha shughuli za Kanisa...
Muhimu:....Kama unahisi wewe ni Mdini pls usichangie uzi huu, Hili si la jukwaa la dini kwani Vatican ni nchi kama ilivyo nchi zingine...