Lissu kunguruma kesho Dar Es Salaam kwenye mkutano

3squere

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
925
Reaction score
181
CHADEMA Kata Ya Segerea Inakukaribisha Katika Mkutano Mkubwa Wa Hadhara Utakaofanyika Katika Viwanja Vya Shule Ya Msingi Ya Liwiti,trh 10/03/13 Kuanzia Saa 9 Alasiri,mgeni Rasmi Atakuwa Mbunge Wa Singida Mashariki,na Mnadhimu Wa Kambi Ya Upinzani Bungeni Mh.Tundu Lissu,na Wageni Wengine Kutoka Makao Makuu Ya CHADEMA.

fika Mapema Na Wajulishe Wanachama,wapenzi Na Wananchi Wengine.
 
Usisahau updates tu.wengine tuko nje ya Dar!
 
Mngewabandikia calendar ya maandamano ya mwaka mzima mitaani kuliko kuwasumbua wananchi na mvua hizi zinazoendelea kunyesha.

Au kama mnataka kuwapa namba za viongozi, mngetengeneza vipeperushi mvisambaze kuliko kuwasumbua wananchi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kunywa gongo na mataputapu nyakati za mchana ni Sumu hatari kwa ubongo..
 
Last edited by a moderator:
Kesho nipo kamili kwa update msijali kamanda kikosi
 
Mngewabandikia calendar ya maandamano ya mwaka mzima mitaani kuliko kuwasumbua wananchi na mvua hizi zinazoendelea kunyesha.

Au kama mnataka kuwapa namba za viongozi, mngetengeneza vipeperushi mvisambaze kuliko kuwasumbua wananchi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

yaani hilo tu ndo umetumia mda wote huo kukoment?
 
Asante kamanda tupo wote kesho. Ni mkutano wa wenye akili kubwa daima hayahitajiki malori kusomba wajingawajinga.
 
CHADEMA Kata Ya Segerea Inakukaribisha Katika Mkutano Mkubwa Wa Hadhara Utakaofanyika Katika Viwanja Vya Shule Ya Msingi Ya Liwiti,trh 10/03/2013 Kuanzia Saa 9 Alasiri,mgeni Rasmi Atakuwa Mbunge Wa Singida Mashariki,na Mnadhimu Wa Kambi Ya Upinzani Bungeni Mh.Tundu Lissu,na Wageni Wengine Kutoka Makao Makuu Ya CHADEMA.

fika Mapema Na Wajulishe Wanachama,wapenzi Na Wananchi Wengine.

Leo ndiyo leo tabata karibuni sana
 
Mngewabandikia calendar ya maandamano ya mwaka mzima mitaani kuliko kuwasumbua wananchi na mvua hizi zinazoendelea kunyesha.

Au kama mnataka kuwapa namba za viongozi, mngetengeneza vipeperushi mvisambaze kuliko kuwasumbua wananchi.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Kipendacho roho hula nyama mbichi.
 
Back
Top Bottom