[SUP]Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela alihaji Zuber Mbyana ameamua kutumia vibaya jina la chadema ili kuhalalisha kuwalipa asikari polisi aliowaita ilikumlinda yeye na madiwani wa CCM kutokana na hofu waliyonayo dhidi ya wafuasi wa chadema.
Hofu hiyo inatokana na wao kushirikiana kuvunja sheria na kumchagua Matata kuwa Meya ingawa alikwishafukuzwa na chama chake. Kutokana na ukimya wa chadema mkurugenzi amekuwa hajui CHADEMA wanawaza nini ndio maana kila kunapokuwa na kikao anaita polisi ,ambao anawalipa fedha ya Manispaa bila idhini ya baraza la madiwani. Huu ni ufisadi.
BADALA YA KUANZA UZUSHI KAMA ANAUHAKIKA KUWA CHADEMA WANAWAHAMASISHA WAFUASI WAO ILI KUMWONDOA MATATA,BASI WACHUKULIWE HATUA ZA KISHERIA.
Hata hivyo ukweli ni kwamba hata picha za tv zinaonyesha kuwa hakukuwa na watu [CHADEMA] pale ila tu lilikuwapo lundo la POLISI na bunduki zao.[/SUP]