Lt. Col. Roc
Member
- Mar 9, 2013
- 8
- 3
ningekuwa na mwenyeji arusha
msome vzr utamuelewa mtoa mada ni kwamba hawakuchaguliwa kwenda A-level ilani kama waliombewa wasome apo ilboru just kama private candidates kisha wakaenda kufanya mtihani kwenye kituo walichojiandikisha. kwa shule za serikali hii inawezekana sana kwamba mzazi akamwombea mwanae asoe shule fulan ada ana michango ya shule mwanafunzi atalipiwa kisha siku ya mtihani anakwenda kufanya kwenye kituo chake.Hawakuchaguliwa kwenda form five halafu wakaenda kusoma Ilboru PCM na PCB?
Hapo mbona sijakupata kanali?
msome vzr utamuelewa mtoa mada ni kwamba hawakuchaguliwa kwenda A-level ilani kama waliombewa wasome apo ilboru just kama private candidates kisha wakaenda kufanya mtihani kwenye kituo walichojiandikisha. kwa shule za serikali hii inawezekana sana kwamba mzazi akamwombea mwanae asoe shule fulan ada ana michango ya shule mwanafunzi atalipiwa kisha siku ya mtihani anakwenda kufanya kwenye kituo chake.
sulen hawi registered kama mwanafunzi na hata kwenye class attendance hayupo. ni kinyume na taratibu za serikali but ni njia a kusaidia kutokana na ugumu wa maisha yetu
Hawakuchaguliwa kwenda form five halafu wakaenda kusoma Ilboru PCM na PCB?
Hapo mbona sijakupata kanali?
Kwa Ilboru ninayoifahamu mimi jambo hilo HALIWEZEKANI. Na kama siku hizi linawezekana basi mambo yamebadilika KUPINDUKIA.
I cant imagine pale Ilboru mko na wanafunzi darasani ambao hawajachaguliwa kusoma hapo lakini kila siku wanaingia darasani for 2 years!!!
ni kawaida sana and so far huyu mwanafunzi analipa ada yake kama kawaida ishu ni kwamba yeye hawez ku claim kwa haki za mwanafnzi pale. kwani wewe ulikuwa na uhakika miaka unasoma wote walikuwa wamechaguliwa hapo?? ama akuna wengine ambao hata kwenye attandence walionekana lkn ukweli sio wanafunzi wa hapo?? mkuu wa shule anaweza kulifaya hiv na hata mwanafunzi asigundue.

Inadaiwa wanaendesha gari la UN la AICC Arusha.
nafikiri waliomba kusoma kwa muda huku wakiwa wamejisajili kwingine kama private candidates
Mkuu, sio mambo yote ambayo hujasikia basi haya exist. Yapo mengi tu ambayo hujasikia.Nina uhakika kuwa hapakuwa na kitu kama hicho Ilboru.
Kama wameanza mchezo huu basi wanaiharibu elimu kwa makusudi.
Shule huwa na idadi maalum ya wanafunzi wanaotakiwa kuchaguliwa na kwa vigezo maalum. Kuchanganya wanafunzi kiholela sio sahihi.
Hii kwangu ni news, sijawahi kusikia wala kuona kitu kama hiki katika shule zote nilizosoma!!!
Wote wawili nanaendesha Gari moja?
mbona hujatulia kuleta habari zako, hebu tulia na leta habari yenye mtiririko mzuri
Mkuu, sio mambo yote ambayo hujasikia basi haya exist. Yapo mengi tu ambayo hujasikia.
Nina uhakika kuwa hapakuwa na kitu kama hicho Ilboru.
Kama wameanza mchezo huu basi wanaiharibu elimu kwa makusudi.
Shule huwa na idadi maalum ya wanafunzi wanaotakiwa kuchaguliwa na kwa vigezo maalum. Kuchanganya wanafunzi kiholela sio sahihi.
Hii kwangu ni news, sijawahi kusikia wala kuona kitu kama hiki katika shule zote nilizosoma!!!
hapo bold ninamaswali kibao kwako but nikuache kwanza.
mzima kabisa vipi huko kwema?Ninajua chanzo cha maswali yako. Ila asante kwa kuniacha kwanza kwa sababu leo siko kwenye mood ya kufafanua.
Mzima lakini?
angalia usije ukawa sued kwa kutoa namba za watu hadharani