Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari zenu wana JF, naomba kupata muongozo juu ya utaratibu wa kushiriki kwenye mabaraza ya katiba. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Published On: Tue, Mar 12th, 2013 Picha / Siasa / Tanzania | By mafwiri Umati wa Watu Msafara Ukienda OFISI za CHADEMA...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF), Absalom Kibanda ambaye anaendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Milpark nchini Afrika Kusini baada ya kuumizwa vibaya na watu wasiojulikana...
0 Reactions
113 Replies
10K Views
Niko Mwanza, na nimezunguka mitaa yote ya jiji hili lanye mandhari nzuri ya kuvutia lakini sijabahatika kuona Bendera ya CHADEMA kote nilikopita, kulikoni...? Au ile OPERATION SANGARA na M4C...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu, Jana, Jumanne, WaZIRI Mkuu wa Kenya, Raila Odinga alitembelea jimbo lake la zamani la Langata, jijini Nairobi na kuwasihi wapiga kura wake kutulia na kusubiri maamuzi ya Supreme Court...
1 Reactions
0 Replies
919 Views
11 MARCH 2013 Peter Mwenda na Anneth Kagenda KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ameitaka Serikali ya Rais Jakaya Kikwete iweke hadharani matokeo ya uchunguzi wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Maoni ya Katuni Uchaguzi Mkuu wa nchini Kenya umemalizika ambapo Uhuru Kenyatta, wa muungano wa Jubilei, ameshinda kiti cha urais. Ushindi wa Kenyatta dhidi ya aliyekuwa mshindani wake wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sidhani kama ni sahihi NEC kupewa pesa hizo na UNDP, huku tukiwa na mchakato wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwnye makala ya Tido mMhando ktk gazet la leo la Mwananchi ameshangazwa na na kauli ya waziri Steven Wasira aliyoitoa kwnye tv ya TBC eti kuwa mdahalo wa Kenya umefanikiwa lakin hapa kwetu 2010...
8 Reactions
82 Replies
9K Views
Tue, Mar 12th, 2013 One of accused charged alongside Council of Islamic Organization Secretary, Sheikh Ponda Issa Ponda, yesterday claimed to have been forced by the police to sign a confession...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wamiliki wa vyombo vya habari, wao wametoa tamko kuitaka serikali kupitia TCRA kufungua mitambo ya analogia la sivyo watakata matangazo, wakiongozwa na mmiliki wa vyombo vya IPP ndg. R. Mengi...
2 Reactions
60 Replies
7K Views
Huyu kijana ni mhanga wa uliloahidi kwenye kampen kuliondoa, yaan ubambikizaji wa kesi unaofanywa na Polisi Arusha. Kuotkana na mama yake ambaye ni mwkiti wa Mtaa kona Esso dogo katupiwa kesi...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Kiukweli kikwete anahitaji changamoto ili aamke alikolala. Jana aliongea sana juu ya TUCTA. Mengine ya ukweli, mengine vitisho, mengine kujitetea, na mengine ushauri, n.k. Lakini ukweli unabaki...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimefurahishwa na huyu bwana kwa acceptance speech aliyoitoa. Point za kuangalia. 1. Hakuwa akisoma kutoka kwenye makaratasi(prepared speech). Umuhimu wa hili ni kwamba mtu anakuwa anaongea jambo...
2 Reactions
114 Replies
11K Views
Polisi wa kutuliza ghasia, wamelazimika kutumia mabomu ya machozi nchini Kenya, mji wa Kisumu kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wakipinga matokeo ya urais ambayo mgombea wao, Raila Odinga...
0 Reactions
88 Replies
10K Views
Tofauti na mabalozi wetu wengine walio nchi za nje ambao kazi zao ku kwenda kwenye kokteli za wa wakubwa, Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mheshimiwa AL HABIB PETER Kalaghe amekuwa ni mfano wa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Na Rushyd Ahmed - London CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya UK, Jumamosi ikiyopita kilifanya uchaguzi wa viongozi wake wa kanda hiyo, ili kusimamia shughuli zote za Chama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna matukio mengine katika nchi yetu yanatia wasiwasi sana kwa mfano tumepiga mayowe jamani aliyempiga ulimboka na kumtesa mbona anafahamika lakini wapi, mwanahalisi likaweka na namba likaambulia...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
kikao cha pamoja kati ya kamati tendaji ya wilaya, mbunge,namadiwani kilichomalizika hivipunde kimeazimia kuwashirikisha wazazi wa watoto na (watoto wlioshindwa) kwenye mtihani wa kidato cha nne...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Imeandikwa na Christopher Gamaina, Dar es Salaam | Jamhuri | Jumanne, Machi 12, 2013 Matumizi ya nyumba za mawaziri jijini Dar es Salaam yamegubikwa na siri nzito. Inadaiwa kuwa baadhi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom