TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Siyo siri kuna haja ya kuelimisha umma kwa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015 na hata katika chaguzi ndogo zinazoendelea kwamba mfumo wa tawala zilizopo ni lazima zibadilike ndipo maendeleo ya kweli yapatikane.BAMTA[BADILI MFUMO TANZANIA]ni slogan nzuri kwa mgombea urais kupitia CDM nikiamini ni chama chenye makamanda wanaoweza kudadavua undani wa slogan hii.BINAFSI NITAGOGOMBEA AMA UDIWANI KATA YA ULANDA AMA UBUNGE JIMBO LA KALENGA,kwa maana hiyo slogan kwa upande wa udiwani pale Ulanda itakuwa "BAMU" na kwa Ubunge wa Kalenga itakuwa"BAMKA".MWISHOWE TUTAPATA SLOGAN YA WAGOMBEA "BAMTA,BAMKA NA BAMU"mtawalia.Wapendwa wana Jf nanyi mnaweza kuunda slogan hii kwa majina ya kata na majimbo yenu ya uchaguzi lakini slogan ya Rais iwe BAMTA.Nimefikiria hivi kwa sababu mfumo wa kiutawala hapa TZ unahitaji kufumuliwa kuanzia ngazi za vitongoji,vijiji,kata,tarafa hadi taifa.Fumua kila idara.MCHANGO WA KUJENGA AMA KUBORESHA NITAUSHUKURU.CHADEMA IMEAMUA 2015.