Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Dk. Valentino Mokiwa, amevamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake, Mbezi Luis, eneo la Mashirikiano, jijini Dar es Salaam, ambapo baada ya kumkosa...
0 Reactions
123 Replies
11K Views
Nimekuwa nikifuatilia muda mrefu uendeshaji wa CHADEMA hususani katika ngazi ya mikoa na baadhi ya wilaya nimegundua udhaifu mkubwa wa viongozi wa mikoa ifuatayo. {1}KILIMANJARO ukitaja moja ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba kufahamishwa yale maandamano ya ya kung'oa uongozu wa wizara ya Elimu ni lini kwani huku mtaani tiyari hali imeshakuwa mbaya. Viongozi wa CHADEMA wamo humu naomba...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Statement by United States Ambassador to Tanzania Alfonso E. Lenhardt on the Attack on Journalist Absalom Kibanda March 8, 2013 Alfonso E. Lenhardt, U.S. Ambassador to Tanzania...
8 Reactions
78 Replies
7K Views
Tumeshuhudia baadhi ya vifo vya viongozi, wanakuwa bado wanakubalika japo wamekufa mfano Hugo Chaves, Kuna watu wenzetu wazungu wanawaita Role Model, yaani ni mtu ambaye kwa mtazamo wa kila mmoja...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
salaam sana wakuu. nimetoka kutzama kipindi Tbc Kikwete akizindua kwa mbwembwe barabara toka Nzega hadi Tabora ili hali hiyo barabara ni vumbi tupu,si hiyo tu nilimshudia akizindua barabara toka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
It has been observed that District Constitutional Assemblies from Village to Ward Levels will likely be dominated by CCM Members. According to the given Procedures, Chairpersons of the...
0 Reactions
2 Replies
839 Views
Na hapa ameshafika na kukutana nao...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Wakati jirani zetu wakiwa wamemaliza pilika za Uchaguzi na kutangazwa kwa Uhuru Kenyatta kama rais mteule,Kuna mambo mengi ambayo watanzania tunaweza kujifunza kutokana na mchakato wote ambao...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
safu mpya ya uongozi
2 Reactions
74 Replies
7K Views
Katika hali isiyotarajiwa Leo katika kijiji cha Kasharara Kata Karambi Jimbo la Muleba Kusini wananchi zaidi ya 100 wamekabidhi kadi za CCM mbele ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ndugu Mhaji pamoja na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Siku ya jmosi nilikutana naye Karagwe akitokea Kyerwa alipopiga mikutano katika kata ya Isingilo. Pamoja na mimi kuingia Karagwe nimechelewa sana alikubali kuamuka usiku wa saa tano na kuongea...
11 Reactions
45 Replies
4K Views
Makamu wa Rais, Dk Gharib Bilal amesema serikali itahakikisha hadi kufikia mwaka 2015 kila mkoa utakuwa na uwanja wa ndege wa kisasa....hahahaha naona MWANASIASA anafanya kazi yake hapa. Come on...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu Amani iwe nanyi! Nimeamua kuipeleka serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzanaia mahakamani kwa lengo la kutetea HAKI za wapiga KURA ambazo zimekuwa zikikanyagwa na kuporwa kila uchwapo...
13 Reactions
27 Replies
3K Views
Takwimu fupi ya CHADEMA. Mwaka 1995: wabunge 4 madiwan i42. mwaka 2000: wabunge 5 madiwani 75 mwaka 2005: wabunge 11 madiwani 103 mwaka 2010: wabunge 48 madiwani 467 mwaka2015?
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Wagombea wote walifika kwa maombi, Peter Kenneth, Martha Karua, James Ole Kiyiapi, Uhuru Kenyatta na Raila Odinga. Walifanyiwa maombi na mhubiri Awori Jumamosi iliyopita wakenya waliombea amani...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
http://www.communication.go.ke/documents/published_draft.pdf Naona hawa jamaa wa Kenya walishafanya kazi kitaalamu sana na sasa sisi tunafanya ya kwetu kijima sana. Kwa upande wa Tanganyika...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima ambaye pia ni mwenyekiti wa jukwaa la Wahariri nchini Bw Absolom Kibanda ametoa matamshi makali dhidi ya Samwel Sitta kwa kumwambia kuwa yeye (Sitta)...
9 Reactions
168 Replies
19K Views
Mchungaji Anton Lusekelo au kwa jina maarufu la Mzee wa upako tarehe 31 januari 2013 ,ndani ya kanisa lake alisema Raila Odinga ndiye angeshinda uchaguzi wa Kenya na Uhuru Kenyatta asingeshinda...
1 Reactions
137 Replies
13K Views
Waziri wa ujenzi bw. John Pombe Magufuli atoa pongezi zake kwa mshindi wa kiti cha uraisi nchini kenya ndg. Uhuru kenyatta huku akisisitiza kuwa bwa. Raila odinga si mwanasiasa mzuri bali ni...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom