Dadavua mkuu kwani hao wakenya wanafanyaje kwenye huo mchakato wa kuwapata hao viti maalum?

Jinsi Wakenya wanavyopiga kura kuwapata wabunge wanawake wa viti maalum
tunapaswa kuiga kwa kweli
ingeondoa hizi sex scandals za wabunge wetu wa viti maalum
wangekuwa na uhalali wa kweli wa kuwa wabunge
Point..wengine hatutumii ving'amuzi
Jinsi Wakenya wanavyopiga kura kuwapata wabunge wanawake wa viti maalum
tunapaswa kuiga kwa kweli
ingeondoa hizi sex scandals za wabunge wetu wa viti maalum
wangekuwa na uhalali wa kweli wa kuwa wabunge
Viti maalum ni mtaji wa upinzani watapataje ruzuku inaongeza mshiko wanaopewa km ruzuku