Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam | Jumanne, Machi 12, 2013
*Taarifa za awali zahusisha kutekwa na urais 2015
*Risasi aliyopigwa ilifumua jicho, ikatokea kisogoni
Tukio la Mwenyekiti...
1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria -...
Polisi wa mkoa wa Arusha wakiangalia Nyara za Serikali zilizokamatwa katika eneo la Mateves Ngaramtoni jijni Arusha Mwananchi
Posted Jumanne,Januari8 2013 saa 14:22 PM
KWA UFUPI
Nyara hizo...
Dk. Slaa afurahia, ataka mshahara na safari za Rais zianikwe bungeni
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbroad Slaa, ameunga...
Ndugu zangu,
AFRIKA vurugu zetu nyingi zinaanzia kwenye chaguzi. Joseph Stalin wa Urusi aliwahi kutamka: "Anayepiga kura hana anachoamua, anayehesabu kura ndiye anayeamua kila kitu".
Na hapa...
Habari wanajf,ni muda mrefu sasa tunajinadi kwa mataifa mengine kuwa sisi Tanzania ni mfano wa kuigwa yaani kwa lugha nyingine sisi ni role model kwa mataifa mengine ya Afrika,Napata shida sana...
Ndugu zangu,
Uchaguzi Mkuu wa Kenya umefuatiliwa kwa karibu sana na sisi Watanzania, ni pamoja na wanasiasa wa vyama vya siasa; Chama tawala, CCM na wapinzani.
Lakini, nahofia, kuwa hakuna...
Awali ya yote tumtakia afya njema mpiganji ABSOLOM.
Nimekuwa nikimsoma Absolom Kibanda ktk Tanzania Daima kwa muda mrefu.Amekuwa akijeleza wazi kuwa alikuwa tofauti na waandishi wenzake {wengi...
KITAIFA
Posted Jumanne,Marchi12 2013 saa 20:36 PM
KWA UFUPI
Akizungumza na waandishi wa habari jana kuhusu wabunge wa chama hicho kutakiwa kuhojiwa na Kamati ya Haki, Kinga na Maadili ya...
Iran imetangaza siku moja ya maombolezo ya kitaifa kwa heshima ya kiboko ya mabeberu(Imperialists)Hugo Chavez,Nami nitamuenzi role model wangu huyu kwa kubadili Cover na profile Picture ya...
Tume ya Uchaguzi Tawi la CCM-DMV yapitisha majina ya wagombea uongozi kwa ngazi ya Tawi kama ifuatavyo:
NAFASI YA MWENYEKITI WA TAWI
1.George Sebo
2.Mrisho Mzese
NAFASI YA KATIBU...
Ndugu wanajf baada ya serikali kuu kuamua na kuunda chombo maalum kwa ajili ya kuratibu ajira zote za idara ,wizara,taasisi za serikali kuu na Halmashauri ilionekana wazi tatizo la ukosefu wa...
Utabiri wa Maalim Hassan Yahya Hussein ambaye ni mrithi wa aliyekuwa Mnajimu Mkuu Afrika Mashariki na Kati Sheikh Yahya Hussein alioutoa tarehe 13/1/2013 mbele ya waandishi wa habari jijini Dar...
Kama tulivyoshudia nchini kenya Mh.Kenyata ndo kaingia ikulu lakini akikabiliwa na changamoto mbalimbali kuhusu ushindi wake huo kuanzia wanaharakati nchini mwake,mgombea mwenzake Raula odinga,na...
Wajumbe na wanabodi salaamu kwenu.
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke mkoa wa Dar Es Salaam kuanzia Tarehe 13/3/2013 mpaka 18/3/2013 itaendesha zoezi la UPULIZIAJI dawa kuzuia WADUDU na MAGONJWA...
Kwanza napenda kuwasalimu wana Jf habar zenu.
Dar ni jiji lenye mchanganyiko wa kila kabila na kila dini na kila rangi,wakazi wengi wapo kutafuta ridhiki na kila mtu na hamsini zake,vijana wengi...
Elisa,
Aliyewasaidia waTz kupata maji ya Victoria si Lowasa, ni rais Mkapa kwenye ahadi yake ya 2000 kwa mkoa wa shinyanga. Wakati huo Lowasa alikuwa kama sio bench ni ofisi tofauti kabisa...
Wanabodi, nimesikitishwa na mtindo wa baadhi ya Wanachama wa CHADEMA kuanza kuiga mitindo mibovu ya Magamba ya kuwanunulia au kuwashonea wanawake washabiki na wapenzi wa CHADEMA vitambaa vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.