Ilitabiriwa na wengi kuwa baada ya kelele na matusi ya muda mfupi dhidi ya viongozi wakuu wa CHADEMA taifa vijana wasaliti jJiana Shonza na mMtela Mwampamba watatulia tulii kwa kukosa hoja yoyote...
Ndio wana jamvi CHADEMA wakiongozwa na Dr. Slaa, Zitto Kabwe , Said Arfi, na wabunge wengine wa chama wanatoa tamko kuu la chama kuhusiaana na habari zilizowekwa kwenye social media.
MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya New Habari 2006, Hussein Bashe, amefichua siri za njama za kuvamiwa na kupigwa kwa Mhariri Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Absalom Kibanda.
Akizungumza...
Kushoto gatini alipouawa Kamanda Barlow, Kulia picha ya hayati Kamanda Barlow
Kamanda Barlow aliuawa na jeshi la polisi nchini katika mazingira ya utatanishi akitokea kwenye kikao cha harusi...
Parties free to form alliances
Send to a friend
Tuesday, 12 March 2013 22:49
Registrar of Political Parties John Tendwa
By Polycarp Machira
The Citizen Reporter
Dar es Salaam.Political...
Dr. Wilbroad Slaa, amealikwa kwa mahojiano na WPFW Radio ya Washington, D.C. U.S.A. siku ya jumatano tarehe 13 Machi, 2013. Saa saba mchana, saa za Amerika ya mashariki ( 1pm U.S Eastern time)/...
WanaJF
Nimesikiliza kwa kituo hotuba ya JK. Naamini ilikuwa na malengo yafuatayo:
1. Kuwadhalilisha madaktari kuwa hawana uzalendo kwa kudai mishahara isiyowezekana (Sh Milioni 7 na milioni 17...
Wana JF jambo?. Nipo hapa BoT Mwanza, Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli ameikoromea bodi ya Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kuhusu rushwa!. Eti kasema hata awe mjomba...
RAIS KIKWETE KUONGOZA HARAMBEEKUKABILIANA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI UKONGA
Na Dotto Mwaibale
RAIS Jakaya Kikwete anategemewa kuwa mgeni rasmi katika harambeeya kupambana na Umasikini Jimbo...
Tanzanian journalists under attack
Journalists in Tanzania are being intimidated by beatings, harassment and death threats. In the latest example, Absalom Kibanda, editor of the newspaper...
Wana JF salaaam kwenu,
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa wabunge wengi sana wa Chama Kikuu cha Upinzani Nchini CHADEMA wamepata wito wa dharura kwenye...
Gazeti la mwananchi limeweka katika ukurasa wa Kwanza habari za Nchimbi kuwafukuza kazi baadhi ya polisi kwa makosa mbali mbali ikiwepo kosa la kuwabambikia wananchi mashataka ya uwongo na tena...
Mh.Raisi ni dhahiri matukio yanoyeleta hasira na machungu miongoni mwa watanzania yanazidi kuongezeka kila kukicha.Hivi sasa wanaoandamwa ni mawaziri wako akiwemo waziri wa elimu sababu ikiwa ni...
John Ford (African American)
ambaye alikuwa TN State Senator
Ben Saanane namfananisha na Mark Jackson bribery case againt TN State Senator John Ford
Ben Saanane naweza kumlinganisha Case ya TN...
Ndugu zangu,
Kama mtego ule wa panya, tutafanya makosa makubwa kama kuna watakaodhani, kuwa haya ya watu kuchinjwa na kujeruhiwa na mapanga yatawakuta watu wa kundi fulani tu. Tukiacha...
President-elect Kenyata demonstrated his priority in economy by meeting busines community today and assure them his support. in fact he requested the community to select representative that will...
Akizungumza katika kipindi cha asubuhi na Mwangaza fm, amesema Tanzania kumekuwa na mufululizo wa mambo mengi ambapo yasipoangaliwa taifa hili litabaki kuwa historia.
Amesema uzalendo...
Katika kile kinachoonekana ni kuwakejeli waalim, chama cha waalimu nchini CWT wilaya ya bahi, imewalipa walimu posho ya kikao tsh 2000/=. kikao hicho kilifanyika makao makuu ya wilaya ambapo...
Ni kipindi kirefu toka tumchague mh mdee kuwa mbunge wetu wa kawe bt linapo kuja jambo la kuonekana sasa hapo ndio shida,Kama mi hapa nilipo sijawai kumuona mbunge wetu toka kuchaguliwa adi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.