Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WORLD PHOTO | PETER PARKS Passengers ride on a subway train as China's president in waiting Xi Jinping (C) is seen on a television screen at the opening session of the National People's...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
BBC TAZARA DOCUMENTARY African Railway (BBC) - YouTube
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za leo ndugu zangu wana JF! Baada ya kuchanganua kwa makini mwenendo wa makosa ya jinai nchini,nimegundua kitu kinachoitwa "UCHOCHEZI" ni moja kati ya makosa makubwa kwa sasa. Mfano;Absalom...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wananchi Mbeya Ilondo wamejenga zahanati miaka 10 iliyopita mpaka leo haijatumika kisa hakuna dawa,matabibu na wauguzi,hata hapo Tumbi Kibaha hali ni hiyo hiyo jengo lipo hakuna huduma. Sasa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Tangu fbi waje Tanzania chokochoko za kidini zimepungua kama sio kuisha kabisa. Hii inaonyesha kuwa walikua wanafanya makusudi au kwa kudharau watawala waliopo. Hii inaonyesha kulikua na watu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Privatus Karugendo | Raia Mwema Toleo la 079 WANAOMPENDA Wilfred Muganyizi Lwakatare, wanaamini bado amesimama imara kisiasa. Wanampima kwa ujana wake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akimpa kinyago Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao. Na Bashir Nkoromo, China KATIBU Mkuu wa Chama CHa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Alhamisi, Machi 14, 2013 09:39 Na Mwandishi Wetu Vitisho kwa viongozi wa dini *Waanza kutoa ulinzi kwa maaskofu na makanisa JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeanza kutoa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
George Mkuchika tangu mapema mwezi wa 3 amekuwa akikosa watu kwenye mikutano yake huko Newala na kwa siku ya jana tarehe 14/03/2013 Mjini Masasi. Kutokana na fedheha anayopata anasukumia lawama...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Baadhi ya wagombea wa Tawi la CCM DMV wajitoa kwenye uchaguzi Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika baadhi ya wagombea wamelazimika kujitoa majina yao kwenye uchaguzi huo uliotarajiwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Alhamisi, Machi 14, 2013 09:57 Na Egbert Mkoko WAKATI wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi kwenye Uchaguzi mkuu mwaka 2010, Taasisi ya kuzuia na pupambana na Rushwa (TAKUKURU)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) akimpa zawadi ya kinyago cha ‘Ujamaa', Katibu Mkuu wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Kamati Kuu jimbo la Sichuan, Zhang Ning...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JAJI wa Mahakama Kuu Zanzibar, Abraham Mwampashi, amesema Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) hana mamlaka ya kuiamuru mahakama nani apewe dhamana na nani anyimwe. Alisema hayo alipokuwa akitoa hukumu...
6 Reactions
46 Replies
5K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA KWA UMOJA WA WANAFUNZI WALIOFUKUZWA VYUO NA VIKUU NCHINI UTANGULIZI Awali ya yote tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema na fadhia ambaye amekuwa ni...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya uenyekiti wa kitongoji cha Halla B katika Kata ya Nangara wilayani babati, Christopher Paschal, ameshinda nafasi hiyo baada ya kumwangusha...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Nchi iko kwenye wakati mgumu sana na mambo mengi au tuseme yote ni kwa sababu ya serikali ya awamu ya 4. Tunaona matatizo mengi hasahasa human rights violations, tumesikia ya Ulimboka, Kibanda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wanabodi, Nimetafakari yaliyowahi kumkuta mkuu wa wilaya kule bukoba alipowacharaza bakora walimu wa shule moja kwa uzembe,ulevi na utoro.tukio lile lilipelekea DC yule kufukuzwa kazi. Kwa vile...
3 Reactions
73 Replies
6K Views
Mbunge wa zamani wa Jimbo la Busega mkoani Simiyu na mjumbe wa NEC (CCM), Dk. Raphael Masunga Chegeni amevishukia vyombo vya Usalama, akisema haiingii akilini watu waliomteka na kumjeruhi Absalom...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Mkutano na maandamano vilivyoratibiwa na ofisi ya mbunge Jimbo la Ubungo kesho yatafanyika kama ilivyopangwa, maji kwanza mambo mengine baadaye,
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Wanabodi Nimeona niulize swali ambalo majibu mazuri ni vizuri kwa kulingana na uelewa wako,Wabunge wa CHADEMA waliitwa kwa agizo la Katibu wa Bunge bwana Kashililah kwamba wanatakiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom