BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,918
Wananchi Mbeya Ilondo wamejenga zahanati miaka 10 iliyopita mpaka leo haijatumika kisa hakuna dawa,matabibu na wauguzi,hata hapo Tumbi Kibaha hali ni hiyo hiyo jengo lipo hakuna huduma.
Sasa mlikua na maana gani kupoteza nguvu za wananchi kama hamuwezi toa huduma walau ya mama mjamzito na watoto?
Sasa mlikua na maana gani kupoteza nguvu za wananchi kama hamuwezi toa huduma walau ya mama mjamzito na watoto?